Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna jamaa yangu tokea majuzi alikuwa akishinda Makao Makuu ya Uhamiaji pale Kurasini kufuatilia passport ya mwanawe anayetakiwa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya masomo ila leo aliwasikia baadhi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Inasemekana kunamsichana mchawi kalazwa sasa usiku anakuwa ndege na leo kabambwa baada ya kuchelewa kurudi
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Inasemekana Billionaire maarufu Yusuph manji yuko chini ya mikono salama huko Marekani kwa kukutwa akitumia ulevi wa madawa
5 Reactions
55 Replies
14K Views
Wadau habarini za jioni. Ndugu zangu naombeni tupeane update kwa waliomba maombi ya scholarship za china kama majibu wameanza kupata . Natanguliza shukrani zangu za dhati
2 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Bomoa bomoa ya ubungo kimara imesitishwa hadi mwakani kupisha upanuzi wa mwendo kasi kuanzia kibo hadi kimara. 2. Estim wamekabidhiwa upanuzi wa kimara kibaha njia sita. Haya yamesemwa na...
3 Reactions
133 Replies
21K Views
Habari nilizonyetisha mahala nikiwa napata supu ya ng'ombe ni kwamba Wafanyabiashara hao wapatao 117 ndani ya Jiji la Arusha wanajiandaa kuteketeza zao lao la ngozi litokanalo na ng'ombe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya siku nyingi sana wanajamvi wenzangu,nimepita hapa Dodoma kikazi kiukweli sijaelewa mji mzuri kama huu unakosa stendi ya Dala dala,katika kuuliza nikaambiwa pale jamatini ndipo dala dala...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nachukizwa Sana na hili jambo sidhani Kama wewe lishawahi kukükuta kila nikiwa kwenye foleni ikifika zamu yangu Mtoa huduma ndio ana nyanyuka na kuondoka Nimefanya risechi iwe ni Hospital Bank...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Happy New Month to all... Leo ni tarehe 1 July,mwezi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na watumishi wazalendo,sioni shauku,matumaini,bashasha na furaha kama enzi zileeee,nini kimetokea? Mwenye...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati Bunge likijiandaa na ukusanyaji wa maoni ya wadau katika mabadiliko ya Sheria ya NGOs (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wapendwa katika Imani nimepitia baadhi ya vitabu ambavyo nimeandikwa kuhusu ndoto, Na vitabu vingi vimeandika samaki maana yake ni watu. na ukiota unavua samaki maana yake unapeleka kondoo...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Doctor naombeni msaada wa aina ya dawa nitumie ya macho, tatzo langu ninauono hafifu wa macho ulioanza mwanzoni mwa mwakahuu, macho hayaumi wala kutoa machozi Naombeni msaada
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya mawaziri wawili wa JK kuhusishwa na umiliki wa majumba/makazi ya mamilioini ya shilingi muda mfupi tu baada ya kushika nafasi zao Waziri mwingine anatajwa kumilimi jumba kubwa ambalo...
13 Reactions
163 Replies
25K Views
Wakuu habari kwa sasa nipo ukanda wa ziwa tanganyika kijiji kimoja cha ndani kbs(jina nalihifazi). kwa takriban miezi mitatu sasa nimezoena na watu kidogo ila juzi kunambibi jirani yangu anashamba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Akizungumza na vyombo vya habari mwanzilishi wa mtandao huo Mark Zuckerberg,, amewakosoa vikali wale ambao wanatoa wito kampuni hiyo ifungwe, akiongeza kuwa wanafanya kila wawezalo kukabiliana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima - Archbishop GWAJIMA anatarajia kufanya press conference na waandishi wa habari kanisani kwake-ubungo asubuhi ya leo ya tarehe 08/05/2019 kuanzia muda wa saa...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti, Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu jamani Mabibi na Mabwana,nilikuwa napenda kuuliza kwa mwenye kujua eti sie waislamu funga yetu ya Ramadhani inaanza Kesho Jumatatu ama Keshokutwa Jumanne,Jaziba wekeni pembeni busara...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
yeyote anayefahamu vigezo vyao vikuu kabisa ili uweze kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ, napenda sana hii kazi ASANTN
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Back
Top Bottom