Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na...
0 Reactions
2 Replies
226 Views
Wakati majirani huko na kule wanabaguana ni vema wakachungulia huku na kujifunza. Vilevile na sisi tukachungulia kule ili kuona ni vipi tusijefanya makosa kama yao. Sifa za Makabila; (Ili uwe...
2 Reactions
13 Replies
245 Views
===== Msomaji, vema pia ukasoma hapa > Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa! ===== Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine...
118 Reactions
2K Replies
208K Views
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka...
13 Reactions
44 Replies
817 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo. Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye...
2 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu baada ya Mo Dewji kudukuliwa nimeona nije na madini hapa ili tukuchue hatari kwani hiki kinaweza kumtokea mtu mwingine. Lakini pia nimeshuhudia marafiki zangu wengi akaunti za mitandao ya...
1 Reactions
4 Replies
173 Views
Habarini wanaJamiiForums, Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa...
2 Reactions
11 Replies
318 Views
Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Wakuu, Madereva wa Magari yanayofanya safari za Nachingwea, Ruangwa, Liwale, Mtwara na Masasi kutokea Stendi kuu ya Mabasi Mkoani Lindi wamegoma hii leo januari 8, 2025 kwa kile walichokieleza...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva amefanya ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji- Wilaya ya Lindi na kubainisha mafanikio na megauzi makubwa Sekta ya Maji ikiwa ni kazi...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya...
0 Reactions
2 Replies
150 Views
Habari wadau, sina mengi ndugu zangu naomba kujua wapi nitapata soko la madini aina ya ulanga mweusi na kyanite, msaada wa upatikanaji wa soko. Natanguliza shukran
1 Reactions
2 Replies
137 Views
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa maktaba...
2 Reactions
1 Replies
126 Views
Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani...
1 Reactions
26 Replies
357 Views
Kwa wale mnaopanga kwenda kuzamia Marekani na nchi nyingine, Nitoe shukrani zangu kwa Mwana wa Mungu Trump, aliyeletwa kufungua macho ya watu. Naomba niwajuze, mkiwa mnapambana huko Mungu...
4 Reactions
28 Replies
576 Views
Na Nusra Shaaban Walimu wapya walioajiriwa katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuzingatia maadili ya taaluma, kuwa wavumilivu, na kuwa na moyo wa kujituma ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na...
1 Reactions
4 Replies
210 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia...
1 Reactions
3 Replies
195 Views
Back
Top Bottom