Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani...
0 Reactions
5 Replies
189 Views
Kwa nini wale wanaotenda kwa nia mbaya au bila kujali maadili huonekana kustawi? Kwa nini watu wanaodanganya, kupotosha, au kuvunja sheria huishia kupata mafanikio, utajiri, na mamlaka? Inakera...
17 Reactions
34 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Utalii limetoka ripoti yake ya mwaka 2023. Kwenye ripoti hiyo ,Tanznaia imetajwa kwenye Nchi 10 Zilizofanya Vizuri Kwa Kuvutia Watalii...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu...
2 Reactions
17 Replies
648 Views
Ni asubuhi ya siku nyingine tena, harakati zimeshaanza na nyingi Zikiwa ni kuwahi kazini au mishemishe pamoja na uchovu wa jana lakini huna budi kuamka na kujiandaa ili uwahi kazini Ni katika...
100 Reactions
277 Replies
33K Views
Anonymous (e941)
Wananchi wa maeneo ya Mwakaleli halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa miaka mingi tumeahidiwa kujengewa barabara kwa kiwango cha lami lakini haitekelezwi. Ujenzi wa Barabara...
0 Reactions
4 Replies
161 Views
Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwaka 2023 kuna fedha Tsh Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kagera iliamuliwa na Serikali ya Mkoa kuwa zinatakiwa kutumika kukarabati Stendi ya Mabasi ya Bukoba, lakini...
0 Reactions
5 Replies
500 Views
Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha...
1 Reactions
8 Replies
489 Views
Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA" Moderator Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafahamu sana mahala hapo. Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma...
1 Reactions
58 Replies
20K Views
Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Ukisoma katika biblia takatifu hasa kitabu cha mwanzo baada ya adamu kula tunda lile walilokatazwa kula Mungu aliwayafuta bustanini asiwaone. Kumbe kuna wakati mungu Ukijificha hakuoni. Basi...
4 Reactions
21 Replies
624 Views
Wakuu Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara...
30 Reactions
118 Replies
3K Views
Context Huyo mtu anajiita nabii huwa kazi yake ni kuzunguka pale iringa mjini na kuwapigia kelele wanawake waliovaa suruali. Huwa mara nyingine anawatukana na kuwadhalilisha sana wanawake pale...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
🍁🍁🍁🍁MUDRA🍁🍁🍁🍁 ✍️mudras ni nafasi za mikono zinazotumiwa katika kutafakari au yoga ambazo uunganisha mwili wa kifizikia na vituo vya nishati ya kiroho vinavyojulikana kama chakras. ✍️Pia husaidia...
0 Reactions
5 Replies
253 Views
zifuatazo ni masafa 9 na faida zake zinazohusiana: 174 hz - husaidia katika kupunguza maumivu na mafadhaiko 285 hz - hurahisisha uponyaji wa ndani na kusawazisha mwili na akili. (inayohusishwa...
1 Reactions
3 Replies
163 Views
Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera. Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema...
1 Reactions
9 Replies
359 Views
Wananchi hawa wa Korogwe huko Tanga wanalazimika kupambana hadi na Mamba katika harakati za kusaka Maji.
0 Reactions
0 Replies
200 Views
🌺🌺🌺🌺🌺🌺MAAJABU YA MAUA YA HIBISCUSS🌺🌺🌺🌺🌺🌺 💐kutafakari(Meditation) ni kwa ajili ya nafsi zetu na Kuungana na asili ili kulisha roho zetu . Hii hapa ni baadhi ya mapendekezo ya mmea wa kukusaidia...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Back
Top Bottom