Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Dar es Salaam, Tanzania – Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja. Kupitia...
0 Reactions
3 Replies
220 Views
Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili...
1 Reactions
20 Replies
804 Views
Miezi kadhaa nyuma wife alikuwa anahitaji kununua simu baada ya survey za hapa na pale mitandaon tukakutana na page za kuuza simu mitandaoni location Pemba ila wanatuma mzigo popote. Bei zake...
2 Reactions
6 Replies
526 Views
Anonymous (5b84)
Habari JamiiForums. Manispaa ya Singida vyoo vya umma katika stendi ya zamani, vyoo havina sinki za kunawia mikono, zilizopo zimeharibika wameweka ndoo na kikombe, mtu akitoka chooni anachota...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Vijana mkoani Njombe wameonywa juu ya kujiingiza kwenye biashara haramu zikiwemo za kuuza miili yao,Kutumika kusafirisha dawa za kulevya na kujihusisha na matukio ya kijambazi na badala yake...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua...
4 Reactions
97 Replies
3K Views
Vijana jitahidi sana kufaya ubunifu ambao pamoja na kuburudisha jamani kaelimishe walau jambo lolote. katika group letu la ukoo imetupiwa hii clip nimesikitika sana. sioni ubunifu wowote na...
4 Reactions
22 Replies
896 Views
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia...
24 Reactions
123 Replies
5K Views
Anonymous (680f)
1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile. 2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
https://simpleflying.com/european-union-air-tanzania-ban/
1 Reactions
4 Replies
240 Views
Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Huu ni msiba mzito Kwa hawa walimu, kinachofanyika ni halmashauri kutoa maelekezo Kwa wakuu wa shule ndipo mkuu anaitisha kikao cha walimu kisichokuwa na Chai Wala posho kutoa maagizo ambayo...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi, Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside. Nawasilisha.
12 Reactions
105 Replies
3K Views
Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
0 Reactions
9 Replies
408 Views
Wakuu, Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu. Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu? Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu...
2 Reactions
1 Replies
152 Views
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza...
76 Reactions
340 Replies
7K Views
Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment! Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu...
2 Reactions
10 Replies
383 Views
Back
Top Bottom