Usingizi ni nusu ya kifo lakini tutambue kuwa watu wengi hawapendi kuamshwa wawapo usingizini kwa raha wanayaipata +ndoto n.k.
Inakuwaje tunaambiwa kuwa kifo kinafata na adhabu kutoka kwa mungu...
Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha...
Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance.
Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo.
Usipoziba ufa...
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado...
Sisi watumiaji wa barabara ya kutoka Njelela kupitia Miva na Uwemba Wilayani Ludewa Mkoani Njombe tunasikitika kutelekezwa kwa vifusi vilivyomwagwa kwenye barabara hiyo.
Tunaelewa lengo zuri za...
wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto.
mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania
ukicheki statistics za ajira...
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc...
Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda...
Rais wa Marekani alitangaza tenda ya kufanya Painting katika jengo la White House.
Na alipata nchi tatu ambazo zimeapply zabuni hiyo. Ambapo alipata kampuni ya Kichina, ya Kizungu (European) na...
Kuna Wakati utasikia Fulani amekamatwa na Polisi.
Unaweza pia kusikia Fulani Katiwa Nguvuni na Vyombo vya Dola.
Kadhalika waweza sikia Fulani Katekwa na Watu Wasiojulikana.
Naomba kujua tofauti...
Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali.
Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati...
Leo nimesikitika sana baada ya kusoma uzi wa jamaa anayetaka wahudumu wa mgahawani kwa mshahara wa Tsh 2000/= kwa siku kwa hoja kwamba watakula bure mgahawani. Watu wengi kwenye ule uzi wamempinga...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha...
1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025.
Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji...
Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi FM Mh Nasib ameshawalipa Watumishi wake wote mshahara wa mwezi December
Amezitaka Taasisi nyingine ziige mfano wake Ili kuwapunguzia watumishi wao ugumu wa maisha...
Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa
Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya...
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida.
Makamu Mkuu wa chuo hicho...
Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo:
Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai
Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama
Hapa na pale tu usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.