Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni...
Nawasalimu.
Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi...
Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa.
Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano...
Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli.
Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum,
lakini ukweli...
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la...
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.
Nimemsikia mkurugenzi mkuu...
Kuna Mikoa kiukweli Mimi ukiniambia nikaishi ni kama umenipa adhabu kubwa. Mikoa ambayo sitamani kabisa kuishi ni
Dsm-Watu wengi,Kila sehemu Kuna nuka,uswazi, no space na prone kwa Magonjwa kama...
LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA,
SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU.
Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala...
Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna...
Uganda: Shirika liitwalo 'Media Focus on Africa Uganda' kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo JamiiForums limeandaa Tamasha la Uganda Media Week 2024 ili kuangazia mambo mbalimbali kuhusu...
October 17 had 27 Mwezi uliopita kuna kipindi nilipitia kipindi kigumu sana.
Kwanza kabisa nilianza kwa kukohoa, nilichukulia kawaida lakini siku ya pili nakohoa sana, asubuhi nilienda kununua...
Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna...
Wapenzi wa muziki wa dansi, wana Twanga pepeta tutakukumbuka kwa mchango wako mkubwa katika utunzi na nidhamu ya kazi wakati wote wa utumishi wako.
Utunzi wako katika wimbo wa “Kisa cha Mpemba”...
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Polisi Dar es salaam Lazaro Benedict Mambosasa ambae ametangaza kukamatwa kwa Meneja wa Hoteli ya Peacock Dar es salaam.
Namnukuu Kamanda Mambo sasa akisema...
Hizi ni habari mbaya kwa mashabiki wa Msondo Ngoma Music Band, Mwimbaji na mtunzi tegemeo wa bendi hiyo Shaaban Dede amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa...
Habari JF
Mimi ni dereva Bajaj.
Kutokana na kusoma makala mbalimbali, nimegundua ni lazima niwe na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato, ili nifikie mafanikio.
Ila tatizo kila nikiwaza sipati jibu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri amezitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kudumisha ushirikiano baina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.