Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mara Nyingi sana huwa nasikia watu wakisema mwanamke Shetani, je hili swala likoje, na Kuna ushahidi wowote inaonyesha kua mwanamke ni Shetani, na Je Kuna Uhusiano Gani kati ya Mwanamke kupenda...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu...
12 Reactions
21 Replies
834 Views
Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM. Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu. Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Wale wanaoitwa red indians wa North America wana uhusiano wowote na wale wahindi wa kawaida wa India? Au ndo majina tu yameendana kiaina?
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken...
1 Reactions
28 Replies
595 Views
Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya...
4 Reactions
4 Replies
341 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya kuwatunuku wapendwa wao. Akizungumza na Swahili Times...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapo vip!! Binafsi sipendagi kuandika mambo yanahusiana na changamoto za serikali kwasababu watu hata hawafukuzwi kazi hata kama kweli tuhuma ni za kweli. Ila kwasababu sisi ni wanaharakati...
1 Reactions
10 Replies
440 Views
Ripoti ya Dondoo za Takwimu za Robo mwaka inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha ongezeko kubwa la thamani na mzunguko wa noti ya Sh10,000. Ufuatao ni mwenendo wa thamani ya...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni...
0 Reactions
4 Replies
514 Views
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda...
13 Reactions
175 Replies
5K Views
Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali, Vita za taifa na taifa Israel na Hamas. Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna...
3 Reactions
16 Replies
479 Views
Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Nimepokea pesa saa 10:43 jioni Dakika 2 badaye napokea sms ya tuma kwenye namba hii. Amejuaje nimepokea pesa huyu tapeli?
1 Reactions
6 Replies
207 Views
Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo. Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo. Ni vyoo vya...
24 Reactions
46 Replies
7K Views
Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi. Asee kwa kuwa maisha hayasubiri...
8 Reactions
9 Replies
558 Views
Wakuu Habari, Nahitaji Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria ambapo Nitapata Vinywaji na Chakula kwa Affordable Prices NB: Yasiwe Mahoteli Makubwa Makubwa
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja. Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Back
Top Bottom