Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Megan Garcia ameshtaki Google na kampuni ya akili Mnemba inayohusika na "Chatbot" kwa madai ya kuhusika katika kifo cha mwanaye Sewell Setzer (14) Inadaiwa Sewell alikuwa akiwasiliana kimapenzi...
2 Reactions
18 Replies
713 Views
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya...
1 Reactions
19 Replies
786 Views
Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto...
13 Reactions
102 Replies
3K Views
Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip (kwenda na kurudi) business class?
4 Reactions
15 Replies
570 Views
Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, niko mitaa ya Masaki kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kuwaleta live hafla ya utoaji wa Tuzo za VIA za TotalEnergies kwa ushirikiano na...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Simu janja zaidi ya mia moja na ishirini ambazo zilikuwa zikitumiwa na wanafunzi kinyume na sheria kwa kuwasiliana na kutumiana picha za ngono zimekamatwa katika shule ya sekondari mkoani Tabora...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Tausi Afrika Yazindua Mfumo wa Kiotomatiki wa Uchambuzi wa Kifedha kwa Kutumia Akili Bandia Kampuni ya Tausi Afrika imeleta mfumo mpya wa uchambuzi wa kifedha uitwao MANKA, ambao unatumia...
1 Reactions
0 Replies
192 Views
Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje? Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
7 Replies
315 Views
Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom...
1 Reactions
4 Replies
327 Views
Anonymous (59b4)
Kumekuwa na kero ya muda mrefu sasa katika daladala za Mbweni jambo ambalo limekuwa usumbufu kwa abiria Kwa mujibu wa LATRA route ya daladala za Mbweni ina Njia mbili 1. Kuna daladala...
1 Reactions
4 Replies
529 Views
Nina pikipiki Boxer X150 nataka nitumie kama usafiri kutoka Dar kwenda Moshi Mjini, nipeni ushauri muda mzuri wa kuanza safari, sehemu za kupumzika, nimwage oil kila baada ya Km ngap? NB...
12 Reactions
161 Replies
24K Views
Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Siku ya leo jioni kumekuwa na taharuki baada ya watu kuona vitu vilivyopita angani mithiri ya nyota zinazoongozana katika mstari mmoja, wapo waliodhani ni nyota, wapo waliodhani ni vimondo, mpaka...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi. Maeneo...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika...
2 Reactions
4 Replies
345 Views
Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama...
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber? Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia...
31 Reactions
107 Replies
5K Views
Back
Top Bottom