Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Mwanamke mmoja anayekwenda kwa jina Milembe ambaye ni Afisa wa mgodi wa Geita anayehusika katika kitengo cha manunuzi amekamatwa na jeshi la polisi kwa kosa...
25 Reactions
496 Replies
95K Views
Wakuu kwema? Niwe mkweli, siku hizi kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana hasa kwenye pesa. Sijajua sababu. Unaweza kukutana na mtu hamjuani ukamuachia pesa nyingi bila maandishi na kazi...
1 Reactions
5 Replies
299 Views
Siku ya Umoja wa Mataifa huadhimishwa Oktoba 24 kila mwaka ikiwa ni lengo la kukuza Amani, Usalama, Ushirikiano kati ya Nchi na Nchi na Maendeleo ya Haki za Binadamu duniani kote. Hati rasmi ya...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume...
6 Reactions
21 Replies
877 Views
Ukiachilia mbali aibu kwa kampuni kubwa kama ya Pepsi kuwa na magari mabovu lakini pia yanahatarisha maisha ya watumiaji barabara wengine. Asilimia kubwa ya magari wanayotumia kufanya delivery...
4 Reactions
15 Replies
461 Views
Anonymous (f91a)
Wakuu salama! Kwa masikitiko makubwa na baada ya kujishauri kwa muda mrefu nimeamua hili kulileta hapa jukwaani pengine hili suala laweza patiwa ufumbuzi. Ni Hivi Kuna mtu alikuwa anamiliki...
1 Reactions
4 Replies
310 Views
Natumia Voda net Network yangu bila VPN haifanyi kazi, kuna shida gani wakuu?
0 Reactions
2 Replies
203 Views
DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Wanaume wenzangu ukiwa bado unataka kuishi, lakini umeshagundua kwamba ulioa feminist bila kujua mbinu za kuishi nae kwa amani ili asikuletee madhara ya haraka au kukuua ni 5. 1. Jitahidi sana...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Gazeti Huru lililojaa hikma na elimu Kwa kizazi hiki na kijacho ligaiwe bure MASHULENI, airport na stendi za mabasi.
3 Reactions
22 Replies
892 Views
Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za...
129 Reactions
223 Replies
25K Views
Huu ni wakati mpya rejea kwenye blogu yetu upate vitu nasi tuone vitu, hakuna sababu ya kuogapa tena, njoo njooo
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
28 Reactions
110 Replies
3K Views
Hakuna anaeweza kulipa fadhila alizotendewa hata kidogo, ila unachoweza kufanya nikua mwema au kunlmtendea mema aliekutendea wema. Baadhi husema kauli " Kulipa fadhila", si kweli, imagine mtu...
0 Reactions
4 Replies
149 Views
“Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze...
1 Reactions
3 Replies
681 Views
Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano...
19 Reactions
90 Replies
5K Views
Mvinyo ni uleule kilichobadilika ni chupa tuu... Chama dola kilifanya figisu ili vyama visiwe na vikundi vya ulinzi...Na sheria ikapitishwa kwenye hili...Hii yote ilitokana na chama kikuu cha...
19 Reactions
85 Replies
10K Views
Back
Top Bottom