Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo...
4 Reactions
8 Replies
493 Views
Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo. Ndoto huwa inaonekana ya uongo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Miaka ya 2000 mwanzoni kulikuwa na Televisheni za visogo, sisi tumekua tukiziita Video za chogo, tv ambazo zilitulea sana kipindi hicho. Miaka hile niko pale jijini Mwanza, Ilemela mitaa ya Ghana...
1 Reactions
8 Replies
416 Views
Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau...
1 Reactions
5 Replies
451 Views
Kuna chalii hapa, yeye maji atayatafuta popotee, iwe ni bomba la nje, bafuni, kwenye ndoo popote, Akiyapata cha maana hamna, ni kuingiza mkono na kuuzungusha. Yaani huyu imefika hatua akiwa...
2 Reactions
19 Replies
441 Views
Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk. Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa...
2 Reactions
22 Replies
948 Views
Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati...
1 Reactions
2 Replies
255 Views
Kauli hii inaonyesha wazo la kuheshimu imani za kidini za wengine ili kupata heshima kwa imani yako mwenyewe. Inasisitiza uvumilivu wa kidini na umuhimu wa kuonyesha heshima kwa miungu au dini...
1 Reactions
6 Replies
282 Views
Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu. Just see few Case...
8 Reactions
21 Replies
816 Views
Nimeshawishika kuandika hili baada ya kuona vijana wanafunzi wa sekondari wakikokotwa na walimu wao na kupelekwa kujiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni jambo zuri vijana kupiga...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Baba Mtakatifu Francis amewatangaza Watakatifu wapya 14 wa Kikatoliki, wakiwemo Mashahidi 11 wa Damascus waliouawa nchini Syria kwa kukataa kukana imani yao. "Padre Manuel Ruiz López na wenzake...
3 Reactions
10 Replies
488 Views
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps. Ama nilipie...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Anonymous (9a03)
Kama kichwa kinavyoeleza hapo tunabambikiwa sana parking siku hizi naomba utupazie hili nina uhakika wahudumu wa huduma za parking WAMEKUWA wakibahatisha namba za gari na kuandika bili za parking...
3 Reactions
2 Replies
354 Views
Huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi, kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu...
16 Reactions
81 Replies
7K Views
Eneo Bora la Utalii Afrika (Tanzania) Bodi Bora ya Utalli Afrika (TTB), Hifadhi Bora ya Afrika (Serengeti), Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Mlima Kilimanjaro). Tanzania imenyakua tuzo 4...
4 Reactions
5 Replies
910 Views
2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa. Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla. Kutoshiriki inaweza...
0 Reactions
19 Replies
316 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na...
2 Reactions
4 Replies
595 Views
TOUFIQ TURKY AANGAZIA FURSA ZA UTALII COMORO Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor ya Zanzibar ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe. Toufiq Salim Turky amekutana na Waziri wa Utalii na...
0 Reactions
2 Replies
239 Views
Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya...
1 Reactions
6 Replies
424 Views
Back
Top Bottom