Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sijui ni ndio kukosa elimu ya afya au ni ulimbukeni tu, au labda kuna sababu nyingine!?.... Kwa kweli ukifika kwenye mnada wa Msalato karibu kidogo na nje ya jiji la Dodoma utapigwa na butwaa...
22 Reactions
121 Replies
4K Views
ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA...
6 Reactions
13 Replies
872 Views
Kama binti yako au mkeo hajafanikisha kuvaa haya mavazi manne katika maisha yake jitafute ujue ulikosea wapi: 1. Sare ya shule 2. Graduation gown 3. Wedding gown 4. Maternity dress. Ukikosa...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika. Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na...
16 Reactions
138 Replies
3K Views
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania. Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu...
104 Reactions
302 Replies
65K Views
Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu...
0 Reactions
2 Replies
325 Views
66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi. Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37. Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya...
2 Reactions
8 Replies
235 Views
Kutokana na uongezeko la wasomi nchini imefika wakati sasa kungekuwa na mikataba kwa watumishi wa Serikali. Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational...
2 Reactions
8 Replies
528 Views
Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi...
7 Reactions
11 Replies
514 Views
Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (Kasino Kwa Msango Gulani) Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili, tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na...
1 Reactions
5 Replies
225 Views
PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa. Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba kujua hawa wanaojiita anzaleopesa ni mtandao wa kweli na kuna yeyote aliye pata kufaidika na biashara hii? Au ni upigaji tu
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Hii barabara ya Kilwa kipande cha kushuka hapa Kokoto kuja daraja la Mzinga mpaka Kongowe imeshakuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa huku maana foleni haziishi sababu barabara ni nyembamba kiasi...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini? Tuheshimiane jinsia ya kike...
49 Reactions
180 Replies
11K Views
Mbunge Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto amesema kabla ya kutekelezwa kwa miradi aliyoileta Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiteto kina mama walikuwa wakitoka nje kuchota maji saa 8...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono. 2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu 3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha...
11 Reactions
21 Replies
736 Views
Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya...
1 Reactions
0 Replies
563 Views
Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa...
0 Reactions
3 Replies
371 Views
Back
Top Bottom