Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanyika kuboresha Mahakama Nchini ili kuwezesha mazingira rafiki ya utoaji haki lakini bado kuna changamoto ambayo ni kero kubwa licha ya...
1 Reactions
3 Replies
258 Views
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30...
0 Reactions
8 Replies
449 Views
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo 1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh 1 Ksh itabidi...
1 Reactions
19 Replies
842 Views
Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube...
3 Reactions
27 Replies
683 Views
Kichwa kmejtosheleza maana kuna nadharia kwamba kila wanachofanya Waislam kunahusishwa na tamaduni za kiarabu, sasa katka kujfunza nataka nitambue pia tamaduni za kikristo zenye tamaduni za...
2 Reactions
60 Replies
912 Views
Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Nipende kusema tu," kila neno likutokalo mdomoni, jaribu kilitafakari kabla halijatoka, maana siku ya mwisho utalitokes hesabu" Kulitolea hesabu, inamaanisha utalielezea ulikuwa una maana gani...
5 Reactions
12 Replies
580 Views
Habari tumsifu Yesu Kristo Swali linalo nitatiza hivi hawa IT gari IKIPATA AJALI kabla haijafika kwa muhusika nani huwa analipa Maana unakuta gari mpya kabisa ila imepata accident na imeharibika...
4 Reactions
5 Replies
350 Views
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake. Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima...
8 Reactions
97 Replies
2K Views
Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya...
14 Reactions
142 Replies
5K Views
Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla. Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo. Mtangazaji aliyefariki alitoa...
17 Reactions
72 Replies
5K Views
Mtu anafanya biashara ya maji , wenyewe wanaamini ni maji ya Upako eti yawapeleke Mbinguni na kumaliza matatizo yao. Ama kweli wajinga ndio waliwao 😆😆👇👇
8 Reactions
106 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Biblia ya kwanza kuandikwa iliandikwa kwa lugha ya Kigiriki, lakini inafundishwa kwa lugha zote no limitations za lugha. Ila sisi Waislam kwanini tujifunze dini kwa Kiarabu, yaani hii naona sio...
35 Reactions
579 Replies
24K Views
Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000 Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000 Umeme (Luku) 3000 Maji 5000 King'amuzi 25000...
4 Reactions
41 Replies
875 Views
Taarifa za kuuawa kwa Katibu Mkuu wa Chama cha siasa Hezbollah cha Lebanoni, Sheikh Sayyed Hassan Nasrallah zimeitikisa dunia baada ya Jeshi la Israeli kutangaza kumuua na Hezbollah kuthibitisha...
16 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa kipindi kirefu, kuanzia utawala wa awamu ya 5 hadi huu wa awamu ya 6, bwana Paulo Makonda amekuwa na tuhuma nyingi, kuanzia za kimaadili, kiutendaji, na hata za kupanga na kusitisha haki za...
5 Reactions
6 Replies
412 Views
Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la...
1 Reactions
8 Replies
317 Views
Ni bahati mbaya kwamba kwenye jamii yetu sio maofisini, shuleni, vyuoni, majumbani, stendi, filling stations vyoo ni vichafu sana, na kwa baadhi ya jamii zetu vyoo ndio haviingiliki kabisa mfano...
4 Reactions
23 Replies
588 Views
Back
Top Bottom