Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujikita katika kufikiria njia mbalimbali zitakazowawezesha kuwekeza nje ya nchi ili kusaidia nchi iendelee kujitawala kiuchumi.
Rai hiyo imetolewa...
Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema...
Ulikuwa mwema binti mpole, mavazi ya kiafrika kutoka kijijini, ulipofika mjini ofisi ikakuamini ikakupa kazi, ofisi ikakufundisha na mavazi ya kuvaa binti, ukakubali ukaanza kuvaa European style...
Serikali ikikupa ubalozi nchi fulani ukishindwa kutoboa basi utakuwa unatatizo. Hivi unapelekwa nchi kama USA, CANADA, FRANCE, UJERUMANI, POLAND, AUSTRALIA, JAPAN, CHINA, KOREA, UNITED ARAB...
Salaam, shalom,
Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho.
Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna...
https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27...
Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza.
1-no tattoos
2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume.
3-no twerking hadharani.
4-usivae kibukta kinachoacha nusu...
KAMA NILIVYOZUNGUMZA JUZI KUWA MAMBO YAMEBADILIKA SANA, SIO KILA ANAEKUTONGOZA SASAHIVI ANAKUTAKA KIMAPENZI WENGINE WAKO KAZINI
HUYU BINTI ALIKUJA KWANGU MAJUZI NIKAMUOMBEA AKAFUNGULIWA NA BADO...
Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
Nawaza kile kinachoitwa mwisho wa dunia, au wengine wanaita kiama siku kikitokea halafu tukakuta hakuna adhabu yoyote sijui itakuwaje.
Nawaza maisha ya wanaoishi ni kutamani kuishi milele, vipi...
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu...
MBUNGE WANU AMEIR Awaahidi Wanafunzi wa Skuli ya Hasnuu Makame Watakaofaulu Shahada ya Kwanza Kupata Scholarship
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Mwanamke Initiative...
Ikiwa kweli mnafahamu hatua za muhimu za mabadiliko ya mwanadamu na maendeleo ya kijamii katika historia ya kukabiliana na majukumu ya Lazima, lakini pia mahitaji mtambuka ya kila siku.
Kwa...
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila...
Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa...
Baada ya kufanya vipimo vya DNA ili kujua babu yake alitoka wapi barani Africa, amegundua kwamba babu yake alitoka Congo.
Ingawa hakuweza wazi whether is Brazzaville or Kinshasa but tuna assume...
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao.
Idara za masoko za makampuni ya kukopesha...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024.
Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.