Tukio hilo limetokea leo baada ya Uturuki kushambulia magari mawili ya Syria, Russia imetoa onyo kali kwa Uturuki ikisema tukio hilo linaweza kuleta madhara makubwa kwa Uturuki na kuitaka...
...hii sasa ni kasheshe.
Kwa wanaokumbuka historia ya huyu jamaa, sijui kama kutakuwa na salama
Haiti siku chache zijazo. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa...
Jean Claude and Francois...
Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao.
Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa...
Feb 21, 2020
Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali Yaşar Güler pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ümit Dündar kwa pamoja wamekagua vikosi vya...
Head of China's Wuhan hospital dies over coronavirus
The total death toll in China has climbed to 1,868, the National Health Commission said.
In Summary
• Singapore Airlines Ltd said it would...
Nyaraka mpya zilizovuja zinaonyesha namna mamlaka za China zinavyotumia teknolojia ya kiwango cha juu kuwafuatilia, kuwatambua na kisha kuwakamata Waislamu wa jamii ya Uighur.
Nyaraka hizo...
15 Februari 2020
Waziri wa Afya nchini Rwanda Dkt. Diane Gashumba amejiuzulu kulingana na afisi ya waziri mkuu nchini humo.
Katika ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa Twitter, afisi hiyo...
Waziri Mkuu wa Lesotho Thomas Thabane, 80, atashtakiwa kwa mauaji ya mkewe wa kwanza Lipolelo Thabane, Polisi wameeleza.
Bwana Thabane alitangaza kuwa atajiuzulu mwezi Julai kutokana na umri...
Shirika la Boeing linakumbwa na hatari ya kukabiliwa tena na suala la usalama wa ndege zake baada ya vifusi kupatikana kwenye tenki za mafuta katika ndege kadhaa ambazo zilikuwa zinasubiri...
Baada ya Serikali ya Ukraine kutangaza kuwaondoa raia wake waliokuwepo China kufuatia mlipuko wa Corona Virus, Wakazi wa Mji ambao watu wao wanatarajia kukaa kwa muda wa siku 14 wakati wapo kwenye...
Sitaki mabaya yatokee ila kwa sababu za kiusalama tu kwanini rais wa Burundi asiwape mafunzo na hifadhi waasi wa Rwanda FDLR wanaoteseka nchini Kongo?
Nkurunziza nimesikia akilalamika kuwa Rwanda...
14 Februari 2020
Idara ya upelelezi ya Rwanda imesema inamshikilia mwanamuziki Kizito Mihigo baada ya kufikishwa kwenye idara hiyo na polisi tarehe 13 mwezi Februari .
Kwenye ukurasa wa Twitter...
Shambulio la mjini Hanau magharibi mwa Ujerumani lililotokea jana usiku, limewaua watu kadhaa na kuwajeruhi watu wengine. Polisi imethibitisha watu wanane wamepoteza maisha na wengine watano...
Mpaka sasa imeripotiwa vifo takriban 1,803 huku maambukizi yakifikia 73,000.
Katika hali ya kushangaza kuna wagonjwa 9,000+ wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Cha kushangaza dunia...
Kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na uvumi kuwa Corona ni gonjwa pandikizi yaani Ni bio Weapon ambayo Mchina Katupiwa ili ashuke kiuchumi
Lakini mshangao ni wachina wenyewe hawajamhusisha...
Mwanamke wa Ethiopia aliyeshambuliwa kawa tindikali na mumewe mwaka 2017 anasema licha ya hali ngumu anayopitia baada ya shambulio hilo ana kila sababu ya kuwashukuru watu waliomsaidia.
"Kuna...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ameonya mipango ya serikali ya Afrika Kusini kunyakua ardhi pasipo fidia kuwa ''utaleta madhara mabaya sana'' kwa uchumi na taifa kwa ujumla.
Bwana...
Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla.
Pompeo...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Mapema mwezi huu wa Februari mahakama ya katiba nchini Malawi ilitoa uamuzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na kumaliza mvutano uliosababishwa na matokeo ya uchaguzi wa Rais...
Chuo Kikuu cha Ghana kimesimamisha wahadhiri wawili, Profesa Ransford Gyampo na Dk Paul Kwame Butakor, kwa vipindi tofauti bila mshahara
Video iliyochukuliwa na waandishi ilionyesha udhalilishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.