International Forum

News and Stories from rest of the World
We have people that aren’t working. We have people that have no incentive to work. But they’re going to have incentive to work, because the greatest social program is a job. And they’ll be proud...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
#HABARI idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu. Gazeti...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump ameshinda katika jimbo la Nevada nchini Marekani, na hivyo basi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania tiketi ya chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpambani wa awali kupata wagombea kiti cha uraisi marekani kupitia chama cha Republican unazidi kupamba moto baada ya mgombezi maarufu "Donald Trump" kushinda kura za South Caroline na huku...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Wagombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani wanakabiliana kwenye uchaguzi wa mchujo katika jimbo la Nevada katika kinyang’anyiro cha nne cha kuamua mgombea wa chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya wale wana Mageuzi ambao kila siku wanasema CCM imetawala kwa muda mrefu na kwamba ni lazima Upinzani uingie, sasa Liberia inatuonyesha kwamba kuchagua Upinzani siyo suluhisho la matatizo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Binamu wake Muammar Gaddafi anayeitwa Ahmed Gaddaf Al-Dam amesema Libya imekuwa Gofu baada ya uvamizi wa majeshi ya NATO. Ikumbukwe kuwa umoja wa kujiami wa nchi za magharibi (NATO) uliivamia...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Read an interesting article recently on the difference between these two massive oil juggernauts. There has been so much news surrounding crude oil lately, I thought it might be interesting to see...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Grassroots Tory activists 'want to defy Cameron and support Brexit': Only two of 68 constituency parties insist they want to stay in the EU Constituency chairmen, officials and councillors in UK...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Wabobezi wa masuala ya kimataifa, najiuliza kwanini Uingereza anawatishia wenzake (kwa kweli yupo serious sana) kwamba atajitoa EU? Na kwanini members wengine wa EU wanaendelea kuwabembeleza? Ni...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
In a bizarre 11th hour demand for attention before the crucial South Carolina presidential primaries, Republican front-runner Donald Trump attempted to proverbially jump the political shark for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kura za awali za Jumamosi, hususan katika Jimbo la South Carolina, kuna kila dalili kwamba Donald Trump anaweza kushinda uteuzi wa Chama cha Republican kugombea urais huku dalili kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Mtoto wa miaka minne nchini Misri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa hatia ya mauaji, kusababisha vurugu, kuharibu majengo ya serikali na kutishia maaskari. Mtoto huyo aliyezaliwa mwaka...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Kama tulidhani suala la biashara ya kusafirisha binadamu na wahamiaji haramu ni tatizo dogo, basi tumekosea, kwa sababu tayari 'wakubwa' wamekiri kuwa biashara hiyo ni kubwa zaidi kuliko hata ile...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
KUNDI la wapiganaji la ISIS limemuua kwa kumkata kichwa kijana mmoja baada ya kumkuta akisikiliza muziki wa Pop unaoimbwa na wasanii wa Marekani akiwa kwenye baa ya baba yake. Kijana huyo, Ayham...
6 Reactions
137 Replies
13K Views
Mgombea kiti wa chama cha Republican katika uchaguzi ujao wa urais nchini Marekani Donald Trump ameshinda kura ya mashinani katika jimbo la Carolina Kusini. Bwana Trump ambaye awali mwezi huu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabunge wa Upinzani Waingia na Mabomu ya Machozi Bungeni Wabunge wa Upinzani Waingia na Mabomu ya Machozi Bungeni ~ MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali bado tete Mashariki ya Kati hususan Syria ambapo watu 83 wameuawa na wengine takriban 200 wamejeruhi katika milipuko ya mabomu mawili ya kujitoa muhanga iliyotokea kwenye wilaya ya Sayeda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Are you in Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi? Are you interested in enterpreurship? Only 300USD can be enough capital to start with, Contact me via whatsapp: +255 718 585 555 Or email...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Rais Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani. Amesema kazi hiyo ni “kazi kubwa”. "Ninaendelea kuamini kwamba Bw Trump hatakuwa...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom