Grace Mugabe na mumewe Robert Mugabe
Mahakama moja nchini Zimbabwe imetupilia mbali baadhi ya mashtaka dhidi ya mbunge mmoja wa chama tawala anayetuhumiwa kumtusi mkewe rais wa taifa hilo Grace...
Muuza unga maarufu bilionea el-chapo Guzman aliyetoroka gerezani mwaka Jana kwa kuchimba mtaro mrefu amekamatwa tena.
========
Mexico's authorities have recaptured drug lord Joaquin "El Chapo"...
Kampuni ya mafuta ya nchini Ufaransa Total, imethibitisha kuwa itazalisha mafuta nchini Uganda licha ya kuanguka kwa bei ya mafuta yasiyosafishwa, huku ikisafirisha nishati hiyo muhimu kwenda...
An ISIS suicide bomber is believed to be behind the bomb blast that killed 10 and injured 15 in Istanbul today.
The explosion ripped through Istanbul's historic Sultanahmet district this morning...
Mwanamume anayesakwa kwa makosa la kuteketeza na kuharibu mali ametuma picha ya selfie kwa maafisa wa polisi akisema picha iliyotumiwa na maafisa hao katika tangazo la kutafutwa kwake haikuwa ya...
A suicide bomber killed 12 people and wounded at least one in an attack on a mosque in northern Cameroon on Wednesday, officials in the Far North region said, the latest attack in an area beset by...
Robert Mugabe is reported to have collapsed after suffering a heart attack while on holiday with his family and is in critical condition.
Charamba has refused to comment, sources close to the...
Shirika linaloshughulikia watoto la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya nusu ya watoto Sudan kusini hawako shule.
Kwa mujibu wa UNICEF, idadi hiyo ni kubwa kuliko nchi yoyote ile duniani.
Shirika...
A senior Russian prison official is accused of stealing a 50-kilometre road, allegedly selling off more than 7,000 slabs of concrete that made up a highway in the far northern Komi region (AFP...
Image copyrightReuters
Image captionBoti ya Marekani aina ya Riverline, ambayo ni sawa na mbili zilizokamatwa na Iran
Wanajeshi wa Iran wamewaachilia huru mabaharia 10 wa Marekani waliokuwa...
Kamati ya maadili ya Fifa imependekezwa Valcke apigwe marufuku miaka tisa
Katibu mkuu wa Shirikisho la soka duniani Fifa aliyekuwa amesimamishwa kazi Jerome Valcke ameondolewa rasmi kutoka kwenye...
Mamia ya nakala za bajeti rasmi ya Serikali ya Nigeria ya mwaka wa 2016, zimetoweka kutoka bunge la nchi hiyo.
Haya ni kwa mujibu wa mbunge mmoja aliyezungumza na BBC na ambaye hakutaka jina lake...
Obama asema huwa hapaki nywele zake rangi
Obama aliingia mamlakani akiwa na nywele nyeusi 2009
Rais wa Marekani Barack Obama amesema yeye huwa hapaki rangi nyele zake kuficha mvi kama viongozi...
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightREUTERS
Image captionRais Obama akihutubia bunge la congress katika hotuba yake ya mwisho ya kitaifa mamlakani
Rais wa Marekani Barack Obama ametetea vikali...
Miongoni mwa Waisrael wanaokamatwa kwa kuchukua sheria mkononi
Waisrael wanne wameshtakiwa kwa kuhusika na kumpiga mhamiaji kutoka Eritrea, ambaye alidhaniwa kuwa mpiganaji wa kiarabu.
Habtom...
Haya kwa wale haters and pia fanatics wa Obama, here is for you to ponder over (am neither, so don't ask for "my take" on it).....
===============================================================...
Abdulvakhid Edelgireyev survived for years hiding in the Chechen mountains, launching attacks on Russian security forces and evading capture. He survived the battlefields of Syria, and those of...
Mahakama moja ya Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mhubiri anayetuhumiwa kukufuru kwa kumtukana Nabii Muhammad.
Abdul Inyass amehukumiwa katika kikao cha faragha cha mahakama katika mji wa...
Masomo yameanza tena katika Chuo Kikuu cha Garissa baada ya wanafunzi kurejea chuoni. Chuo hicho kilikuwa kimefungwa kwa miezi tisa kufuatia shambulio la al-Shabab mwaka jana.
Mwandishi wa BBC...
Mkuu wa shirikisho la soka nchini Somalia amesema kuwa kundi la wapiganaji wa al-Shabab liko huru kushiriki katika ligi kuu ya soka nchini humo.
Abdiqani Said Arab amemuambiwa mwandishi wa BBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.