Wengi hawamjui lakini Valentine Strasser alikuwa rais wa Sierra Leone kati ya Mwaka 1992 mpaka 1996, na aliweka rekodi ya kuwa kiongozi mwenye umri mdogo zaidi kuingia madarakani akiwa na miaka...
Unaweza kudhani haya mambo ya kurithishana Vyeo Yako CCM na Chadema tu la hasha ni Dunia nzima
Tuzidi kuwaombea akina Tundu Lisu na Paul Makonda Mungu wa mbinguni awatetee
Mbarikiwe Nyote 😃😃
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash was an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Salaam wana JF, k
Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Wanaukumbi.
BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa
Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza:
"Lazima uchague kati ya...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda
Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka...
QURAN
Allah alichagua manabii wengi (sio wote) wayahudi akiwemo Musa, licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa, Allah aliendelea kuchagua wayahudi, upendeleo huu sio bure una sababu zake.
Allah...
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
Zoom in
Cohen admits to stealing from the Trump Organization: During the defense’s cross-examination, Trump’s defense attorney walked Cohen through a series of payments the Trump Organization made...
Mkuu wa jeshi la ulinzi la Israel amesema magaidi wa Hamas watatafutwa na kupigwa popote walipo, na kuanzia sasa hospital za Gaza hazitakuwa maficho ya magaidi tena.
After Jenin raid, Halevi...
Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya...
Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza kwa kuwaua wapiganaji wa kundi la Hamas kama walivyoitangazia dunia.
Ni siku 90 (miezi mitatu) imepita tangu Israeli iingize majeshi yake ya ardhini ndani ya...
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran, Mohammad Kazem Movahhed Azad, ameagiza watu wote wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii, aliyekuwa Rais wa nchi nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni tetesi tu wakuu wangu ambazo mtoa taarifa wangu bado hajawasilishwa rasmi ushahidi wake kuthibitisha anachodai kuwa chanzo cha tukio husika
Kwamba kumbe katika...
Nilishawahi kuletaga thread ya mimi kuwa na hisia zinazonichanganya na wakati mwingine nazitumia kutabiri matokeo ya jambo fulani.
Kama mwezi mmoja kabla ya tukio la October 7 mdogo wangu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.