Leo Palestina imepigiwa kura 143 za kuwa mwanachama wa umoja wa mataifa
Kura 9 ikiwemo ya Marekani na Israeli zimekanusha, na wanachama 30 hawajapiga kura. Hii ni harakati ya kuifanya Palestina...
Waziri mkuu wa falme za kiarabu,Abdullah bin Zayed amemshushua waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibu kwamba nchi ya UAE, Saudi Arabia na mataifa mengine ya...
Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao....
Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe...
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah...
Wenye dini yao wamebadilisha mkondo na kukubali kustaarabika, vipi ndugu zetu Waswahili mbona mnashupaza shingo....
Saudi Arabia is arresting individuals criticizing the Israeli occupation over...
Wanakumbi.
CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa...
Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani...
Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas...
Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu.
Benki Kuu ya...
Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana....
At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited...
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha...
Waislamu wengi wanaumia sana juu ya Wapalestina wakitaka wasaidiwe, si mbaya, maana imeandikwa katika maandiko yao kuwa ndugu yako wa kwanza ni muislamu......
Lakini katika kupita huku na kule...
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya...
Afisi ya rais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema Rais Felix Tshisekedi amewapa msahama wa rais watu ishirini na sita waliokuwa wamefungwa jela kwa njama ya kumuua rais wa zamani wa...
Haya magaidi mnabaki wenyewe....
People flee the eastern parts of Rafah after the Israeli military began evacuating Palestinian civilians ahead of a threatened assault on the southern Gazan...
Ifahamike kwamba mpaka sasa ni nchi mbili tu duniani zilizo tengeneza makombora hayo yaani Urusi na China.
Marekani alijaribu mara zaidi ya mbili lakini akafeli! Je ni kwamba USA anazidia uwezo...
MAREKANI: Rais Joe Biden ameionya Israel na kuitaka kusitisha mpango wake wa kushambulia eneo la Rafah lililopo Kusini mwa Mji wa Gaza huku akieleza kuwa Serikali yake haitatoa Silaha endapo...
Kiongozi wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno ndiye mshindi wa uchaguzi uliofanyika wiki hii, kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa usiku wa kuamkia Ijumaa.
Matokeo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.