Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia......
Russia has condemned...
Israel imefanya shambulizi nchini Lebanon lililomuua kamanda wa kikosi cha maroketi wa Hezbollah.
Israel imesema kuanzia sasa haitafanya mashambulizi ya kujilinda tu bali itafanya mashambulizi...
‼️BREAKING:
🇺🇸🇸🇾 An American Boeing H-64 Apache helicopter has reportedly crashed in Syria. Making it the 3rd loss in 72hrs. 8 have now crashed this year.
Looks like the US has lost more...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.
Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran...
Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport.
---
New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Somalia kutupupilia mbali marekebisho ya katiba ambayo yanalenga kupunguza umri wa utu uzima kisheria, likidai...
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.
Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake...
Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Afrika Kusini Alhamisi walisema kwamba wamemuondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi wa mwezi Mei, na hivyo kuzua mvutano katika...
An Israeli drone strike on a vehicle on the outskirts of Tyre in southern Lebanon on Friday killed a senior Hezbollah official, according to Israeli and Arab media.
The IDF later confirmed the...
Kaenda zake kujilia mabikira.....
he IDF has intensified operations within Shifa Hospital in recent weeks, where they killed numerous terrorists, including a Hamas official.
By JERUSALEM POST...
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari...
Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa....
Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds.
The IDF on...
Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi...
"A Timeless Concern for the Earth"
In the wake of modern progress and global advancements, the haunting specter of atomic bombs continues to cast a long, ominous shadow over human health and the...
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli
Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao
Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa...
AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la...
Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.