International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais Felix Tshisekedi ameridhia Barua ya Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde ikiwa ni Miaka Mitatu toka ateuliwe, hivyo kusababisha kuvunjwa kwa Serikali Taarifa kutoka Ikulu...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Tajiri namba moja duniani Bw. Elon Musk amesema binti yake hawezi kuolewa na mtu maskini. Ukisoma maelezo yake hapa chini bila shaka utakubaliana na dhana yake hiyo. Tofauti na wengi tunavyoelewa...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel. Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote. Israel na Netanyahu wapuuzi sana...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi. Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea. Wakuu hao wamesema amri za...
2 Reactions
3 Replies
656 Views
Katika Vita Vya Israeli - Hamas, idadi ya magaidi waliouwawa yaelekea 10,000 kulinganisha na wanajeshi wa Israeli 236 toka vita ianze hiyo October, 30,2023. Huku 90% ya miundombinu ya Hamas...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Rwanda’s Diplomacy of Lament in the M23 Crisis The conflict in the east of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involving the M23, is escalating to a new level. The involvement of the...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii. Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maafisa wamefichua kwamba, Kanali...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo...
2 Reactions
4 Replies
670 Views
Mbumba’s proposal is good for Namibia’s economy Nangolo Mbumba is sworn in as interim president following the death of Hage Geingob, in Windhoek, Namibia, February 4 2024. Image: SHARON KAVHU/...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Gavana wa Jimbo la Borno Nchini Nigeria amewataka Raia Wake kuingia kwenye Mfungo Kwa kile ameita Kumuomba Mungu Ili Awatatulie Shida ya bei kubwa ya chakula na usalama mdogo ambapo karibia Kila...
1 Reactions
8 Replies
665 Views
Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto... A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo. Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Russia wanatisha wamewashika pabaya US. Marekani leo wamemilio ya hofu ya kulipuliwa Space Command yao BREAKING: [emoji298] Russia wants to place nuclear weapons in space to neutralise US space...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano...
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Back
Top Bottom