International Forum

News and Stories from rest of the World
Hiyo ndio taarifa iliyopokelewa kwa furaha na nchi zote za Kiarabu Kwamba katika swala la Mipaka Marekani yuko na Wapalestina na katika swala la Mataifa Huru Mawili pia Marekani wapo na...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Kiongozi Mkuu wa Hamas yuko mubashara Al jazeera tv akiongea na Dunia nzima Amesema ICJ wanahimiza Vita isimame nasi tupo tayari kutii Aidha amesema Gaza patakuwa ndio kaburi la Ndoto za...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
China imeimbia Iran iwajibike kuzuia mashambulizi ya Wahouthi wa Yemen huko katika bahari nyekundu au vinginevyo uhusiano wao wa kibiashara utaharibika. China ndiye mnunuzi mkubwa wa mafuta ya...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mwishonimwishoni mwa mwaka 2023 NATO walilalamika sana kwamba wanajeshi wa kujitolea wa Wagner waliokuwa nchini Ukraine alafu wakapelekwa Belarus walipotea ghafla mbele ya macho ya...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Huyu Mzee amekuwa kero katika kuhusika destabilizing Serikali za jirani zake. Kama haitoshi ametuhumiwa kujaza mashushu wake Kila Kona, kinachomshinda kwasasa amepima moto anaona hawezi directly...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais Joseph Boakai, (79) alishindwa kumaliza hotuba yake baada ya Uapisho ambapo aliongea kwa dakika 30 na kupata changamoto iliyomlazimu kupewa msaada kuondoka kwenye jukwaa wakati wa sherehe ya...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi? Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa? Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi...
42 Reactions
440 Replies
14K Views
Waandishi wa habari wametangaza kusitisha kuripoti habari zozote zinazohusu Waziri wa Uvuvi, Mavis Hawa Koomson, kutokana na shambulio dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha redio na Watu ambao...
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Tamko kwamba Marekani haina tena pesa kuisaidia Ukraine limekuwa ni la wazi na hata taifa hilo limesema jukumu la kuendelea kuisaidia Ukraine kupigana na Urusi imewaachia wenzake 50 wafanye hivyo...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo. Malcolm...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Tayari Felix Tshisekedi ameanza kuonyesha Dalili ya kushindwa kwenye kampeni hizi. Tayari sheria ya nchi yetu imeamuru kuwa Moise Katumbi ni mkongomani na ana haki ya kugombea urais wa nchi hii...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ndio habari ya hivi punde kutoka makao makuu ya wizara ya Ulinzi ya marekani Pentagon. Marekani kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu imekua ikishambuliwa katika kambi zake za kijeshi nchini Iraq...
6 Reactions
10 Replies
810 Views
Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya Marekani na Uiengereza wamepewa siku 30 za matayarisho ya kuondoka nchini Yemen kwenye maeneo yanayodhibitiwa na wanajeshi wa Houth. Amri hiyo imetolewa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Marekani ndipo ulingo wa dunia ulipo kiuchumi, ni nchi yenye fursa kibao, watu kutoka nchi mbali mbali huenda huko kutafuta maisha. Katika tathmini zilizofanyika kuona makundi ya watu wanaoingiza...
1 Reactions
5 Replies
594 Views
China vs USA aircraft Carriers Tuwe wa kweli China bado safari ndefu Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸 Jamani tuache masihara.
11 Reactions
376 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel. Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Salaam Watanzania wenzangu. Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti...
0 Reactions
10 Replies
962 Views
Mwanzoni mwa mwaka huu benki ya Tanzania BOT ilitangaza kuwa itachukua hatua mbalimbali ili kutatua suala la uhaba wa dola ya Marekani uliotokana na upungufu wa sarafu hiyo kwenye akiba ya taifa...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Back
Top Bottom