International Forum

News and Stories from rest of the World
Huyu jamaa ndio atakuwa the first real black man to be president (vice) wa USA na labda pia president if something happens to President D.Trump na kushindwa kuendelea na urais wa USA. God Bless...
0 Reactions
10 Replies
753 Views
C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga...
0 Reactions
9 Replies
708 Views
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Mmoja ya mtu muhimu katika baraza la kuongoza vita baina ya Israel na Hamas amesema usalama wa mateka uwekwe mwanzo kabla maamuzi ya kuendeleza vita na Hamas, Kiongozi huyo,Gadi Eisenkot ambaye...
0 Reactions
6 Replies
731 Views
Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
BREAKING: [emoji1131] [emoji298] [emoji631] Iraq demands that the US leave the country immediately Another Niger-France situation. After a massive missile strike this morning on ain Al-Asad...
3 Reactions
5 Replies
729 Views
Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze". Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
My Take Tuchukue tahadhari Kipindupindu ni hatari ====== LUSAKA, Zambia (AP) — Zambia is reeling from a major cholera outbreak that has killed more than 400 people and infected more than 10,000...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Wanaendelea kuwahishwa kwa mabikira.... Generals among 5 IRGC commanders killed in alleged Israeli strike on Damascus A security source in a network of groups close to Syria's government and its...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
[emoji636][emoji599][emoji845] BREAKING: British warship out of action! -> Brits did more damage than the Houthis. LMAO ‘The crew couldn’t alter her course so they were forced to look on...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kawa, Israel wanaendelea kuwahisha watu kwenda kwa mabikira.... An Iranian Islamic Revolutionary Guards Corps official was killed in an alleged Israeli airstrike on Damascus, the Reuters...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Miaka miwili iliyopipa jiji la Kyyiv lilizingirwa na majeshi ya Russia. Wote tulishuhudia msafara mrefu wa magari ya kijeshi yakiwa ndani ya Ukraine. Uvamizi ule ulitisha kwa kweli. Mimi binafsi...
26 Reactions
114 Replies
5K Views
Hawa wameanza kutafuta ugomvi na Wahindi... Wenzetu mumeishiwa hoja, mtatafuta mchawi kote lakini ukweli uko pale pale kwamba acheni kujaribu kufuta Wayahudi maana Mungu wao ana nguvu kuliko huyo...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Marekani imefanya duru ya nne ya mashambulizi dhidi ya Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen, maafisa wa Pentagon walithibitisha Jumatano usiku. Baadhi ya makombora 14 ya Houthi, ambayo...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria inayorahisisha kanuni za kupata uraia na kuondoa vikwazo kwa watu kuwa na uraia pacha. Serikali imetoa hoja kuwa mpango huo utasaidia ujumuishwaji wa...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom