International Forum

News and Stories from rest of the World
Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya...
3 Reactions
14 Replies
885 Views
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vipo tayari kuingia katika makabiliano ya kijeshi na Marekani iwapo hali ya...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Vladimir Putin: Raia wa Urusi, marafiki, Tunaaga 2023. Hivi karibuni itakuwa sehemu ya historia na itatubidi tusonge mbele, tutengeneze mustakabali. Tumefanya kazi kwa bidii sana na...
1 Reactions
4 Replies
571 Views
Heri ya mwaka mpya! Mwaka unaanza kwa wababe wa dunia kutunishiana misuli pale red sea huku russia akishambuliwa belgorod na huku mitambo ya Urusi ndani ya Syria ikitungua makombora ya Israel na...
0 Reactions
5 Replies
330 Views
Mamlaka ya mji wa Bat Hefer unaopakana na mji wa Tulkarem huko ukingo wa magharibi imeanzisha uchunguzi baada ya wakaazi wa eneo hilo kusema wamekuwa wakisikia sauti chini yao kama kwamba kuna...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Salamu kwenu nyote! Kadiri nishati inavyoongezeka baada ya Majira ya Baridi, tunakaribia kuaga mwaka wa zamani na kukaribisha mpya. Kutoka Beijing, natoa salamu zangu za heri ya Mwaka Mpya kwa...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023 Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan. Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto...
5 Reactions
187 Replies
9K Views
Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili...
3 Reactions
16 Replies
700 Views
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu. Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake...
2 Reactions
0 Replies
786 Views
Kile kitendo tu cha Hamas na Israel kukaa meza moja kujadiliana mustakabali wa Vita kinaonesha hawa jamaa wako Sare. Kwa sasa Hamas wanatumia rocket za Kienyeji Ndio nafikiria m wakikamata Zana...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF. Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hawa jamaa walidhani kila siku itakua sikukuu At least 10 Houthi rebels were killed today and two wounded when US forces struck their boats in the southern Red Sea, two sources at Yemen’s Hodeida...
4 Reactions
4 Replies
781 Views
Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
3 Reactions
9 Replies
709 Views
Wanaukumbi. Vikosi viwili vya Jeshi la Wanamaji la Marekani ambavyo vilitumwa kwenye Bahari Nyekundu ili kuwazuia waasi wa Houthi wanaoshirikiana na Iran sasa vimeondolewa kwenye bahari ya...
10 Reactions
97 Replies
4K Views
Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakabiliwa na mgogoro wa uhalali kutokana na wito wa upinzani wa kufuta kura kutokana na udanganyifu uliodaiwa. Wapinzani watano...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom