Kumekucha hatimaye mzigo wa ATACMS Umefika uwanja wa mapambano....wako wap waliosema USA hawezi kupeleka ATACMS Ukraine?
Long-range guided missiles that were secretly shipped to Kyiv hit...
More than 100 protesters were surrounding the U.S. embassy carrying Palestinean flags, according to Reuters
The protest was driven by a Hezbollah statement for people around the Arab world to...
Mainz kutoka Ujerumani imemtupia virago Anwar el Ghaz.
Mwarabu huyo mwenye uraia wa Uholanzi alichapicha kwenye mitandao ya kijamii akiashiria kuwaunga mkono magaidi.
Ikumbukwe Waziri wa Kigeni...
Rais Biden wa USA ametua Kwenye Uwanja wa ndege wa Tel aviv israel na kupokelewa na mwenyeji wake mh Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel
Ulinzi ni mkali mno hata mbu anashughulikiwa
Source...
Wanalalamika eti urusi anatumia chakula kama silaha,Tena wakamchafua Kila Kona ya Dunia,Leo Israel anazuia maji,chakula ,umeme na huduma nyingine HAWA HAWA MAREKANI WANASEMA ANAHAKI YA KUJILINDA...
Ikumbukwe Bwana Blinken alishindwa kazi ya kuishwawishi Misri kuwapokea Wapalestina na nchi za kiarabu kumkataa, pia Israel walimgomea kusitisha mashambulizi ya anga wala kuruhusu misaada ya...
Wanaukumbi.
The American Wall Street Journal: “The bomb that was dropped on Baptist Hospital was an American MK-84,” which can only be deployed by a plane that hamas dont have any.
Gaza's health...
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine...
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za...
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa...
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza
Tuzidi kuwaombea
Source...
Kumekuwa na Kauli kinzani kati ya viongozi wa Israel na jumuiya ya kimataifa. Wakati Israel ikitumia makosa ya HAMAS kufanya malipizi kwa raia wasio na hatia.Wakati Israel wakisisitiza wapalestina...
Hatimaye baada ya Bwana Blinken kufeli kwenye kazi aliyotumwa sas Bwana Mkubwa ametinga mwenyewe Tel Aviv kuhakikisha mambo yanakaa sawa.
Msemaji wa baraza la usalama la Marekani amesema Rais wa...
Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha...
Serikali ya Israel imetoa onyo kwa washirika wa Hamas kuwa wakiingilia hii vita basi Israel haitakuwa peke yake kinyonge.
Amesisitiza kuwa Marekani itaingia pia kuisaidia Israel dhidi ya Iran na...
Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na...
Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi...
Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu.
Anakuwa Mwanahabari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.