Kwa siku hizi mbili Urusi imeendelea kushambulia anga la Kyiv bila shida yeyote! Lakini je ule mfumo wa kulinda anga walio pewa Ukraine na USA ni mbovu?
Link: Russian missiles hit critical...
Ninachoona kinachoendelea Ukraine [emoji1255] ni madhara tu kwa nchi yao,asikubali kusogezewa mzigo wa siraha,watu wao wanakufa,miji inakufa,miundombinu nayo inaharibika
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limesema kuwa Mauaji ya waandishi wa habari na wafanyakazi katika vyombo vya habari yaliongezeka mwaka 2022 kutoka 55 na kufikia...
Something really major is going on concerning the World Economic Forum gathering in Davos, Switzerland. I reported earlier that WEF Chief Klaus Schwab would not attend due to health reasons, and...
Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika...
Kwa mara nyingine Urusi imeendelea kupiga maeneo mbali mbali ya Ukraine ambapo jengo moja la ghorofa 9 limeporomoshwa huko Oblast ya Kherson.
Katika hotuba yake ya usiku wa jana raisi Zelensky wa...
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili).
========
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani...
Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1...
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100...
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha...
Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma.
Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo...
Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme.
Msaidizi wa Rais Zelensky...
Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani...
Matukio hayo yametokea Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo walikamatwa katika makundi mawili nyakati mbili tofauti.
Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake...
Iran yamnyonga raia mwenye uraia wa Uingereza na Iran
Raia wa Uingereza na Iran Alireza Akbari, ambaye alihukumiwa hukumu ya kifo nchini Iran, amenyongwa.
Familia ya Bw Akbari ilikuwa imeombwa...
Moja Kati ya nchi za Afrika, ambayo wakristo wanaishi kwa mateso makali hivi sasa, basi ni Nigeria. Hivi karibuni vimeripotiwa visa kadhaa vya Wakristo kuuawa nchini Nigeria. Vitendo hivyo...
Nepal imeanza maombolezo leo Jumatatu, Januari 16, 2023 siku moja baada ya Ndege kuanguka ilipokuwa ikijaribu kutua katika uwanja mpya, na kuua takriban watu 66 kati ya 72 waliokuwa ndani...
China imetoa ripoti ikieleza vifo vilivyorekodiwa kuwa ni 59,938 kati ya Desemba 8, 2022 hadi Januari 12, 2023 ambapo wengi waliofariki ni wenye umri wa miaka 80 waliokuwa na matatizo ya upumuaji...
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.