International Forum

News and Stories from rest of the World
Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa ==== Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma A...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine. Tusichukulie sentensi hili kirahisi maana wakati huu tunaweza kuzungumzia kuanzishwa kwa mifumo ya...
11 Reactions
107 Replies
6K Views
Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki..... Aprisoner...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ngoja tuone kama watamuachia kama mara ya kwanza. Mpska sasa watu 29 wamekufa na vinu vinaendelea kulia huko Culiacana.
13 Reactions
107 Replies
9K Views
[emoji1128] Trending stories: [emoji3502][emoji631] Importing [emoji635] Crude? US becomes top buyer of refined petroleum from India in November, snapping up $3.6bn worth of what's largely crude...
1 Reactions
8 Replies
870 Views
Wanamgambo wa Ukraine wanateseka na msaada uliotangazwa kwa mbwembwe na US Vifaru havifanyi kazi kwenye baridi vinazima kama bajaji...
6 Reactions
8 Replies
754 Views
US ‘threatening’ Africa over ties with Russia – defense minister Washington is concerned by a Russian cargo ship’s visit to a naval base in South Africa, an American official has told the WSJ...
1 Reactions
11 Replies
835 Views
All US domestic flights grounded after software glitch The Federal Aviation Administration (FAA) has reported a failure of the crucial Notice to Air Missions System FILE PHOTO. Idle airplanes at...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Israel imesema kuwa itazuia ujenzi wa baadhi ya makaazi ya Wapalestina na kutumia fedha za walipa kodi wa Palestina kuwalipa fidia wahanga wa ugaidi wa Israel. Uamuzi huo ni katika kujibu hatua...
5 Reactions
120 Replies
4K Views
“Baada ya umeme kurudi, niliingia ndani kumtafuta mume wangu lakini sikumpata. Niliendelea na upekuzi kisha nikamuona akiwa amelala nje kwenye bustani. Nilipotoka nje kupeleleza kulikoni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Urusi Vladmir Putin anasema Ukraine lazima ikubali kupotea kwa maeneo ili kuwe na mazungumzo. Putin amemwambia mwenzake wa Uturuki kwamba yuko tayari kufanya mazungumzo na Ukraine ikiwa...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom