International Forum

News and Stories from rest of the World
Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger. Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imefahamisha kuwa utawala wa rais Joe Biden utatoa dola milioni 2 kwa nchi ya Cuba ili kusaidia juhudi za uokozi wa dharura baada ya kimbunga Ian. Serikali ya...
4 Reactions
15 Replies
554 Views
. The youth delegation from Bangladesh called on President Droupadi Murmu in New Delhi on Friday Delegation members, the President said that they all are future leaders of Bangladesh and the...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Siku ya Takwimu Duniani huwa tarehe 20 Oktoba kila baada ya miaka mitano, ambayo ina maana kwamba kila baada ya nusu muongo, takwimu kuhusu maisha yetu na mambo yanayohusiana huchunguzwa na...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Tajiri na mmiliki wa Space X na Starlink iliyoliyokua ikiipatia mawasiliano ya internet bure Jeshi la Ukraine ametoa tahadhari kua uwezo wa Russia kuangamiza USA na Ulaya ndani ya dakika 30 ni...
46 Reactions
176 Replies
10K Views
Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katikati ya vita vya Urusi na Ukraine kulikuwa na uchaguzi huko Ufaransa. Mpinzani wa rais Macron alikuwa na sera ya kuitoa ufaransa nato na eu lakini wafaransa wakamkataa kwenye box la kura...
8 Reactions
9 Replies
886 Views
Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati. -- Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Vikosi vya Urusi vimeanzisha mashambulizi mapya katika eneo la Kyiv kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze zilizotengenezwa na Iran, maafisa wa Ukraine wamesema. Vifaa muhimu vya...
19 Reactions
194 Replies
12K Views
BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa. Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad...
0 Reactions
6 Replies
605 Views
Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka..... The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea. Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti Mosi, leo kituo cha train mjini kiev kilshambuliwa kwa drones za kamikaze Anga ya jiji la kiev...
24 Reactions
200 Replies
14K Views
Ukraine leo amenyukwa balaa kila mahali Russia anapiga Tayari nchi nyingi zimeanza kuwaondoa watu wake na mabalozi washaanza kufunga virago Wingu la vita lazidi kuwa nyeusi nchini Ukraine mara...
19 Reactions
29 Replies
2K Views
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanaofahamu maana ya SMO watashangaa sana ,huu uvamizi kuitwa SMO, kwanza SMO lazima ifanywe na special force(SF). Kwa putin tumeshuhudia kikosi ambacho kiukweli ni jeshi lisilo na mafunzo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom