International Forum

News and Stories from rest of the World
Wabunge wawili wa Japani wawasili katika mji wa Taipei katika kisiwa Cha Taiwan Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Usalama wa Umma ya Japani Furuya Keiji anahudumu kama mwenyekiti wa kundi...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limesema idadi ya watu wasio na uhakika wa kupata maji safi na salama imeongezeka kwa kasi katika Pembe ya Afrika, huku eneo hilo...
1 Reactions
1 Replies
512 Views
Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge...
1 Reactions
2 Replies
629 Views
More monster than man,Fauci pushed out or is he stepping down voluntarily? Weeks earlier in July, he said the following: “By the time we get to the end of the Biden (regime’s) term, I feel it...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump mara tu baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge...
1 Reactions
106 Replies
15K Views
Hawa ndio viongozi ambao watagombea uchaguzi Congo Moise Katumbi, huyu ni mpenda maendeleo na amani Felix : Huyu ni kiongozi sijui sifa zake nyingi ni zipi ila kiufupi yeye ndio mkongomani...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Baada ya Milipuko mfululizo na kuwepo taarifa daraja linaloiunganisha Crimea na Urusi litashushwa na sigara muda si muda livushe warusi kupitia chini ya Bahari Kurudi kwao Imeripotiwa siku ya...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani. Tukio hilo linakuja ikiwa ni...
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Russia anazidi kushinda kwenye vita, kisiasa na kiuchumi. Majarida mbalimbali maarufu yanaripoti mauzo ya mafuta yanazidi kukua kila siku huku wanunuzi wakubwa ni nchi za ulaya. Tunakumbuka...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Gavana wa Jimbo la Indiana Nchini Marekani, Eric Holcomb ameitembelea Taiwan licha ya vitisho vilivyotolewa na China kwa Gavana huyo kutembelea kisiwani humo. Gavana huyo anakuwa Gavana wa Kwanza...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi...
2 Reactions
7 Replies
790 Views
Ndipo inafahamika tu CIA na MOSSAD nadhani ndio tasisi za Intelejensia zenye nguvu kwasasa Duniani KGB imepambwa sana Tunaona siraha za West ambazo zimeingizwa Ukraine na impact yake kubwa...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Raila Odinga na Mgombea Mwenza Martha Karua leo Agosti 22, 2022 waliwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu, wakitaka kupinga matokeo ya Uchaguzi wa...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuzidisha mashambulizi dhidi ya miundombinu ya kiraia na vituo vya Serikali katika siku zijazo Matukio makubwa kaka mji mkuu wa Kyiv...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana...
0 Reactions
2 Replies
620 Views
Watoto 1,000 Nchini Ukraine wameuawa au kujeruhiwa vibaya tangu kuanza kwa vita baia ya taifa hilo na Urusi, Februari 24, 2022. Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) imesema...
1 Reactions
9 Replies
862 Views
Maafisa wa Usalama wamesema takriban watu 12 wameuawa baada ya kundi la Al-Shabaab lenye uhusiano na wanamgambo wa Al Qaeda kuzingira na kushambulia Hoteli ya Hayat iliyopo Mji Mkuu wa Mogadishu...
2 Reactions
65 Replies
3K Views
Covid-19 was not an epidemiological event, it was a money laundering scheme. “Manufactured pandemics are now mammoth investment opportunities that increase the wealth of billionaires and further...
1 Reactions
3 Replies
630 Views
Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya habari vya utangazaji ya Pakistan, PEMRA, imezipiga marufuku televisheni nchini humo kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa waziri mkuu wa zamani Imran...
5 Reactions
6 Replies
862 Views
Waziri wa zamani wa Guinea, Lounceny Camara (62) ambaye alifungwa jela akishutumiwa kwa ubadhirifu wa pesa za umma na utawala amefariki Dunia. Utawala wa kijeshi uliomuondoa madarakani aliyekuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom