International Forum

News and Stories from rest of the World
Julai 31 watu wa kabila la Wadong katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya Wamiao na Wadong mkoani Guizhou China, waliandaa shughuli mbalimbali ili kusherehekea Sikukuu ya Xinmi.
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Leo ndio leo msema kesho mchawi, Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan...
16 Reactions
523 Replies
32K Views
MAENDELEO ya DUNIA kiujumla yamechangiwa na MAENDELEO ya nchi mojamoja,katika MAENDELEO hayo ya dunia marekani amechangia Sana dunia kuwa Bora,kama kungekuwa na Tuzo ya dunia basi marekani...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishukuru Marekani kwa msaada mwingine wa kijeshi na kusema kwamba msaada kutoka Washington unaileta Kyiv karibu na ushindi. "Asante kwa Rais wa Marekani kwa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Baada ya rusian kupelekewa pumzi ya moto nilijua mbabe chinese atasimamia usawaziko wa mambo hapa Duniani. China ni taifa linalojinasibu kwa nguvu za kijeshi Duniani na nilijua ni ya kwanza. ya...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Pelosi receives medal of honor Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island. “The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Kumekucha. Mambo yanazidi kunoga. Msemaji wa Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Wenbin ameionya Marekani kuwa endapo Nancy Pelosi (US house speaker) atafanya ziara ya kuitembelea Taiwan...
14 Reactions
87 Replies
6K Views
Ziko nchi ambazo haziridhishwi na sera za Marekani na Magharibi kuhusu mataifa Yao. Tanzania inasema ni nchi ya kijamaa huu ndio wakati wake wa kuonyesha kuunga mkono wajamaa wenzake kokote waliko...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Taiwan inasema imeshuhudia ndege 38 zikiingia kwenye eneo lake la ulinzi 2 Oktoba 2021 Uvamizi huo wa Ijumaa uluihusisha ndege za kivita aina ya jet J-16 jets (kama zinavyoonekana kwenye picha...
5 Reactions
207 Replies
17K Views
Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Jirani zetu wanafanya hivi. Kuna la kujifunza.
2 Reactions
8 Replies
668 Views
Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishukuru Marekani kwa msaada mwingine wa kijeshi na kusema kwamba msaada kutoka Washington unaileta Kyiv karibu na ushindi. "Asante kwa Rais wa Marekani kwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mtifuano baina ya viongozi wawili wa mataifa ya DRC na Rwanda ambao mpaka sasa unasabishwa na madai ya serikali ya Congo kuishutumu Serikali ya Rwanda kuivamia Congo na kupora Mali zake kupitia...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kim Jong-Un amemwambia Biden kuwa North Korea ipo tayari kuingia mzigoni (vitani) na Marekani na kibaraka wake South Korea. Amesema kuwa makombora yake ya nyuklia yapo tayari kuiangamiza Marekani...
18 Reactions
164 Replies
9K Views
Waziri Mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre ametangaza kuteuliwa kwa Mukhtar Robow (55) kuwa Waziri wa masuala ya Kidini, hatua inayotajwa inaweza kusaidia kuimarisha vita dhidi ya Waasi nakuzuia vita...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Ndege iliyombeba Spika wa Bunge la wawakilishi la Marekani, imeondoka Malaysia, itapita anga Indonesia, itaelekea anga la Phillipines, ikifika Phillipines itasindikizwa na ndege za jeshi la...
16 Reactions
120 Replies
8K Views
Hicho ndicho anachosema sema NASA. Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa. Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom