International Forum

News and Stories from rest of the World
Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry...
0 Reactions
7 Replies
971 Views
Warusi wanachekesha sana kwenye huu ugomvi, mara kombora lichanganyikiwe na kurudi nyuma na kulipua pale lilipofyatuliwa, hii nyingine jamaa wadungua ndege yao wenyewe, tena ndege ya gharama sana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov. Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas Hungary's top...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa letu pendwa, Mpaka wakati huu Bado najiuliza maswali yenye uzito wa Tani Ambayo Kwa namna Moja au nyingine yame shindwa kunipatia majibu nimeona ni lete kwenu maswali...
12 Reactions
87 Replies
5K Views
Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday. Italian Prime Minister Mario...
22 Reactions
53 Replies
4K Views
Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema. Mkuu wa MI6 Richard Moore...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Hungary Bwana Orbán amesema kuwa vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya (Hungary ikiwa nchi mwanachama wa Umoja huo) dhidi ya Urusi vimeshindwa kuitikisa Urusi kisiasa, kiuchumi na...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Hamjamboni nyote? Nimeambatanisha kielelezo He Kagame amechokwa na wakubwa?!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kazi kwenu Bwana Utam, STRUGGLE MAN, nk ----- Rais Xi Jinping wa China amewataka viongozi kuongeza juhudi katika kanuni ya kuoanisha Uislamu katika mwelekeo na dini za nchi hiyo ili kuendana na...
16 Reactions
346 Replies
14K Views
Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali...
27 Reactions
94 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
This is now the tallest building in Africa. It's in Egypt, with 394m and 80 floors. Africa is rising
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Urusi wanaendelea kuchoka hadi wanamzushia huyu dogo, mwanzo walimpa masaa 24 aondoke Ukraine, wakajaribu kuparamia Kyev ili wamuondoe, wakapigwa za uso na kukimbia, leo hali inazidi kushindikana...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mamlaka nchini Nigeria zinasema kwamba takribani watu 30 wameteketea kwa moto na kupoteza maisha huku makumi wengine wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Kaskazini kwa...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana. Hii ni Taharifa ya BBC... Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa...
29 Reactions
1K Replies
41K Views
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom