Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa...
Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021.
Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye...
Mamlaka za Tanzania zimetangaza kuchukua hatua za muda mrefu na mfupi zinazolenga kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia kutoka kwenye maeneo yao wanayohifadhiwa na kufanya uharibifu kwenye...
Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali...
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika.
Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye...
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima...
Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu...
Vladimir Putin would find it difficult to justify such an action against a brother country. This is how he describes Ukraine.
Putin is already having trouble justifying this war to his people...
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha...
Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika...
Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia...
Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao...
Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje.
Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa hilo pamoja na yeye mwenyewe kutokana na kiwango cha unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto uliofanywa na...
How do I fill in the blanks? A new weaponised strain of monkeypox is found in Brittania UK and quickly spreads to the rest of the world.!!!Queer,isn't.Welcome to 2022!!
Experts have recently...
Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57.
Takwimu hizo ni...
Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili...
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao...
Inakuwaje wanajamvi!
Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia defacto ruler Mohammed Bin Salman (Strong man) anapanga kufanya ziara za kimataifa karibuni.
Nchi atakazozuru ni Turkey, Greece, Cyprus...
Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu.
Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili;
Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.