Astute ni nyambizi mpya kabisa zinazotarajiwa kuanza kazi kwenye jeshi la majini la Uingereza kuanzia mwaka 2018.
Nyambizi hyo inaendeshwa kwa nguvu za nyuklia pia inatajwa kua ni nyambizi kimya...
Nr.1 Zumwalt Class (USA)
Hizi meli vita mpya kabisa ndani ya jeshi la Maji la Marekani,zilikabidhiwa rasmi kwa jeshi hilo mwaka 2016.
Zumwalt class imetengenezwa na kampuni ya General Dynamics...
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.
Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.
Urusi chini ya Putin...
Ripoti ya Hali ya ldadi ya Watu Duniani mwaka 2022, iliyotolewa Machi 30, 2022 na Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) imeonyesha kuwa karibu nusu...
Baada ya Marekani na washirika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya Russia, rais wa nchi hiyo Vladimir Putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu...
Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa...
Jeshi la wana maji la Marekani limeonyesha silaha ya kushambulia adui kwa kutumia Laser beam. Ina maana hii ni invisible killer, inakuja bila kuonekana unasikia tu paaa. Naona wenzetu wame-advance...
Heavy US Military artillery [Photo: Courtesy]
The United States of America is the most powerful military power the world has ever known. Since the end of the Second World War, America has enjoyed...
Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'
Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya...
Huenda Marais wengi duniani kupenda kufanya 'Cabinet Reshuffle' ni Jambo la Kawaida na pengine ni Mimi tu GENTAMYCINE ndiyo sifahamu.
Ni Nadra mno kuwasikia akina Kenyatta, Kagame, Ramaphosa na...
Rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya...
Kuna msemo unasema kumtegemea binadamu (mtu, jamii, nchi etc) Ni kujiweka rehani.
Hi inaenda kumkuta mjerumani na wenzake nchi za Ulaya, hasa baada ya Vita hii ya Ukraine na Urusi.
Kwaufupi...
Rais wa Tunisia Kais Saied Jumatano amelivunja bunge la nchi hiyo na kusema kwamba wabunge watafunguliwa mashtaka, akijiongezea mamlaka zaidi kwa kipindi cha miezi 8 na kuongeza zaidi mzozo wa...
Mwisho leo
Leo Alhamis ya tarehe 31 Machi 2022 ndio mwisho uliotangazwa kwa nchi maadui wa Russia kulipia gesi, mafuta na bidhaa zake kwa pesa za Dola na Yuro Au pesa nyengine yeyote isipokuwa...
Urusi imeingiwa na gadhabu baada ya marekani kufanya hatua za haraka za kuichukua Ukraine na kuwa miongoni Mwa nchi zitakazokuwa chini ya uangaliazi wa Marekani kama ulivyo Japan, Taiwan na...
Korea Kaskazini iliyodai kuwa ina silaha za nyulia na inaweza kuishambulia Marekani huku wadadisi wakisema kuwa ikiwa Korea Kaskazini ina silaha za nyulia haibainiki ikiwa ina teknolojia ya...
The scale of victory - which had been widely predicted - appears to be a marked increase in his share of the vote from 2012, when he won 64%.
Mr Putin's nearest competitor, Pavel Grudinin, had...
Huyu sio mbu mdudu bali ni camera ya kijasusi (spy camera), lakini kinang'ata kama ilivyo mbu yule mdudu wa marelia. Dunia inazunguka sana,
Wakati sie tukipiga porojo za ccm itatawala miaka mia...
Kwa wasioelewa kiongozi wa upinzani hapa urusii anasema taifa la Israel na Ukraine yalimazishwa makusudi kuleta mtafaruku mashariki ya kati na urusi,
Kaendelea kusema kwanini mwaka 1948 Haifa la...
Kwa kifupi maseneta wa marekani pande zote mbili wa Democrat na Republic wanaonekana kutoridhishwa na jinsi sera za vikwazo dhidi ya Urusi ambavyo inacheleweshwa cheleweshwa, na kwenda mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.