International Forum

News and Stories from rest of the World
Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion' Russian president says any freedom should have in its basis respect to other people's feelings Russian President Vladimir...
4 Reactions
0 Replies
805 Views
Pakistan's religious party hails Putin’s anti-blasphemy stance Jamaat-e-Islami chief Siraj-ul-Haq calls Russian president's stand ‘great’ effort to mitigate rising Islamophobia in West KARACHI...
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Wabunge Senegal wawasilisha muswada dhidi ya ushoga Kundi la wabunge nchini Senegal limewasilisha muswada bungeni ili kutilia mkazo na kulipa nguvu suala la kutokomeza vitendo vya ushoga na...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Unaambiwa! Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani, Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam, Kwa mahaba yangu Nitakua naweka updates za mapigano yanayoendelea huko Ethiopia Kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa TPLF na Jeshi lao liitwalo TDF. Kwanza Kuna vitu vya kuweka sawa 1...
35 Reactions
273 Replies
26K Views
Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa...
0 Reactions
4 Replies
680 Views
Rais wa Poland Andrzej Duda leo ametumia kura yake ya turufu kukataa sheria tata ya umiliki wa vyombo vya habari ambayo wakosoaji wanasema inalenga kunyamazisha kituo cha habari cha TVN24...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi...
16 Reactions
195 Replies
21K Views
Dunia imeondokewa na Kiongozi mkuu wa kiimani aliyepambana kutafuta haki. Taarifa za kifo chake zimetolewa Leo hapa South Africa na Mhe. Rais wa S.A, ni kilio na simanzi lakini pia ni furaha kwa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan, imezivunja tume mbili za uchaguzi pamoja na wizara mbili za amani na masuala ya bunge. Naibu msemaji wa serikali ya Taliban, Bilal Karimi, amesema asasi...
1 Reactions
3 Replies
887 Views
Kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa idadi ya watu 104,611 waliambukizwa virusi vya corona katika muda wasaa 24 zilizopita. Idadi hiyo haijawahi kufikiwa nchini humo tangu kuanza janga la corona...
0 Reactions
3 Replies
789 Views
Waziri wa Nyumba na Ujenzi wa utawala haramu wa Israel amesema wakati umefika Rais Bashar al-Assad wa Syria auawe kutokana na eti jinai anazowafanyia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu. Yoav Galant...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Rais Karolos Papoulias aliyeingoza Ugiriki 2005 hadi 2015 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 Rais Papoulias pia alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje 1985 hadi 1989 na 1993 hadi 1996 Ofisi ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hali ni mbaya sana kwenye ardhi ya Tigray.Jeshi la Ethiopia limefanya mashambulizi makali ya ndege katika mkoa wa Alamata kwa siku 2 mfululizo.ndani ya siku 3 jeshi limechukua udhibiti wa maeneo...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana. Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Jeshi la Ethiopia limechukua udhibiti wa mji wa Kobo,uliyopo kilomita 20 kutoka jimbo la Tigray. Kwa mujibu wa kamanda wa vikosi vya Ethiopia amesema muda wowote kuanzia sasa vikosi vya serikali...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni ya Google imetuhumiwa kushindwa kufuta maudhui yaliyozuiwa nchini Urusi hivyo wamepigwa faini ya dola Milioni 98 sawa na Tsh. Bilioni 225.7. Hii ni mara ya pili kwa kampuni hiyo kutozwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom