International Forum

News and Stories from rest of the World
Siku ya Jumanne, Urusi ilizindua ndege yake mpya ya kivita na inayoweza kufanya misheni za kijasusi ya Sukhoi "Checkmate" katika onyesho la ndege mbele ya Rais Vladimir Putin. Habari juu ya...
17 Reactions
111 Replies
15K Views
Katika ripoti yake iliyochapishwa Jumanne, shirika la Umoja wa Mataifa la mipango ya Maendeleo UNDP limesema takriban asilimia 60 ya vifo vitakuwa vimesababishwa na athari zisizo za moja kwa moja...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Tangu Mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 huko nchini Marekani,dunia imeendelea kukumbwa na Vitando vya Kigaidi kila wakati. Kitu ambacho dunia na Serikali zote duniani zinashindwa kuwaeleza...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
A senior Israeli army officer has said that recent joint naval exercises between the UAE, Bahrain, Israel, and the US were a preparation for a possible confrontation with Iran. "We are...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu. Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
13/11/2021 Yafaa kusema wakati wa kipindi cha ukingoni cha Afrika Kusini na sera za ubaguzi wa rangi dhidi ya wasio weupe (wasio wazungu) watu wengi nchini humo ukijumuisha na baadhi ya hata...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40. Marekani na Umoja wa Afrika...
1 Reactions
2 Replies
885 Views
Nov18 Lithuania iliidhinisha mamlaka ya Taiwan kuanzisha ofisi ya mwakilish wa Taiwan nchin Lithuania bila kujal upinzan wa China Wizara ya mambo ya nje ya China imetoa taarifa ikisema hatua hii...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya Corona. Hatua hiyo imechukuliwa leo wakati Kansela Angela Merkel anayekaimu serikali, akijiandaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU. katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona. Kansela wa Austria Alexander...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom