Ndugu wanajamvi
Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa.
Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU?
WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
Polisi wawili nchini humo wamekamatwa kufuatia mauaji Nathaniel Julius (16) Jijini Johannesburg
Familia ya Nathaniel ambaye alikuwa na ugonjwa wa 'Down Syndrome' imesema alitoka nyumbani kwa...
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200
Imeelezwa kuwa, hivi sasa Bezos (56) ana utajiri wa...
Mahakama imemhukumu kifungo cha maisha jela bila uwezekano wa msamaha Brenton Tarrant (29) aliyeua watu 51 kwenye misikiti miwili nchini humo. Mtoto wa miaka 3 alikuwa miongoni mwa waliouawa...
Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa...
Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa...
Rais Donald Trump amekubali rasmi uteuzi wa Republican kuwa Mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba ambapo atawania awamu ya pili
Katika hotuba yake, amesema amekubali uteuzi...
Brookside invests Sh1.3b in Arusha
By Brian Adero in Arusha
Brookside Dairy has launched a dairy farmers programme in Tanzania which will boost the companys daily milk sales in the...
Rais wa Marekani Donald Trump atoa pendekezo la yeye na mpinzani wake wa Democratic Joe Biden wote wafanyiwe vipimo vya uchunguzi kama wanatumia dawa kabla ya mjadala wao mwezi ujao, akidai...
The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but...
Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe,
“Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to...
Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya Warepublican wenzake kwamba wapinzani wao huenda "wakaiba" uchaguzi wa Novemba, wakati chama chake kilipomuidhinisha kuwa mgombea wao.
"Wanatumia Covid 19...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema mamilioni ya wakimbizi waliopo ukanda wa Afrika Mashariki wapo hatarini kukabiliwa na njaa na ukosefu wa lishe bora
Wakimbizi hao wanaishi kwa...
The Somali government has given Kenya five conditions ahead of lifting the blockade of miraa imports.
Nyambene Miraa Traders Association (Nyamita) reckon that talks to end the khat stalemate have...
Ukipata muda tenga nafasi ya kusikiliza hotuba ya huyu mgombea mwenza wa Joe Biden ( Harris Kamala) Ni Moto wa kuotea mbali na atakuwa tishio kwa Trump kuliko hata Joe Biden mwenyewe na ndio maana...
Yule Rais wa rockets na katili duniani yupo ICU kwenye coma madaraka yote amesha kabidhi Kwa Dada. Kweli ma beberu watu wabaya. Taarifa the Mirror
====
Kim Jong-un is reported to be in a coma...
Mzuka WanaJF!
Nilishaletaga uzi humu kipindi cha nyuma kuhusu Belarus na Rais wao Alexander Lukashenko.
Huyu mtu Ni Yesu AnamLinda. Ni mkristo wa Orthodox anayemuamini Mungu na hataki uppuuz...
Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845
Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye...
Wabunge wawili wa upinzani kutoka Hong Kong wamekamatwa na polisi kwa tuhuma zinazohusiana na maandamano dhidi ya serikali yaliyoukumba mkoa maalum wa utawala wa China mwaka jana, Chama...
Habari za mda huu,
Polisi nchini Marekani wamemuua mtu mmoja ambaye kwa taarifa za awali inaonyesha alikuwa anagombelezea ugomvi wa wanawake wawili waliokuwa wanagombana nje ya eneo analoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.