International Forum

News and Stories from rest of the World
Mazishi ya mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd yalifanyika jana Jumatano katika maskani yake mjini Houston, na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 500. Akizungumza kwenye mazishi hayo, mpwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
No doubt, there is still racism in the west. The effects of slavery and colonialism still exist on how racial relationships take place in the west especially the United States of America. There...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Mapigano baina ya jamii mbili yamepelekea mauaji ya watu takribani 890. Mapigano haya yalianza mwezi wa Desemba 2018 na idadi hiyo ni kwa mujibu wa Taarifa za Umoja wa Mataifa Vita hiyo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tlahuelilpan, Mexico. Idadi ya watu 21 waliofariki kutokana na mlipuko wa bomba la mafuta nchini Mexico yafikia 73, na wengine zaidi ya 70 wamejeruhiwa vibaya baada ya bomba la mafuta kulipuka na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, amesema raia wana haki ya kuandamana lakini wanaoleta fujo wanapaswa kuchukuliwa hatua. Amesema wameacha lengo la msingi la maandamano hayo na kufanya fujo Waandamanaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari! Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Dunia nzima imesahau kabisa uwepo wa COVID-19, sasa hivi kila chombo cha habari ni maandamano ya Marekani na kifo cha Floyd, hakuna cha social distance wala barakoa, wala sanitizer, kweli nimeamin...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Jeff Bezos ameweka hii message Instagram aliyotumiwa kama private. === Amazon founder and CEO Jeff Bezos shared a profanity-laced email he received from an angry customer to Instagram on...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Waandamanaji hao wamekamatwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hello JF MEMBERS jioni ya leo nimeamua kutajia mambo kadha kuhusu marekani.Marekani ni nchi ya kwanza kiuchumi na kijeshi na ya tatu kwa ukubwa duniani Leo nataka ujue BAADHI ya sheria na...
21 Reactions
165 Replies
21K Views
Sisi miafrika ndio mibaguzi kupita wote. Cha kuhuzunisha tunabaguana wenyewe kwa wenyewe na kuchukiana. Mungu amlinde na kumjalia afya na maisha marefu president Trump. Kitendo cha yeye siku ile...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
The World Health Organization (WHO) on Friday announced changes to its guidelines on who should wear a mask during the Covid-19 pandemic and where they should wear it. The new guidance recommends...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kampuni kubwa ya mafuta ya BP imesema itapunguza asilimia 15 ya Wafanyakazi wake ili kupunguza gharama za uendeshaji kutokana na janga la #CoronaVirus Imesema inawezekana wafanyakazi 10,000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Urusi imetangaza kuondoa hatua kadhaa zilizowekwa ili kuzuia kusambaa kwa CoronaVirus, licha ya nchi hiyo kuendelea kurekodi maelfu ya maambukizi mapya kila siku. Meya wa Moscow, Sergei Sobyanin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Joe Biden ameshinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kumkabili rais Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais utakaofanyika panapo mwezi Novemba mwaka huu. Biden amesema katika...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Friends...this one has a different feel to it. There’s something about it that makes it very different from events of the past. Demonstrations from Kosovo to Tunisia to Bulgaria. From Seoul to...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
"Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri...
13 Reactions
267 Replies
20K Views
Back
Top Bottom