Habari zenu wana jukwaa la Madaktari.
Napenda kufahamu gharama za kufanyiwa huduma tajwa hapo juu sababu jino langu lilizibwa hivi karibuni so nahitaji huduma hiyo maana nimeanza kusikia maumivu...
Hello JF,
Bado naendelea kutafuta mambo ya vichaa/wenye matatizo ya akili na ndugu zao
Leo ningependa kujua kutoka kwa wanajamii wote au watu specific waliowahi kuuguza mtu mwenye kichaa...
Ndugu zangu,
Nipo/ tupo katika kipindi kigumu sana kama familia, dada yetu aligundulika kuwa saratani ya Ini, damu na titi. Vyote hivyo vipo katika stage ya mwisho na mbaya sana na Madaktari...
Summary
Background
Antiretroviral therapy (ART) cannot cure HIV infection because of a persistent reservoir of latently infected cells. Approaches that force HIV transcription from these cells...
Habari wakuu,
Straight to the point tangu jana nilikua napata maumivu makali sana kwenye maeneo yashingo/ bega la kushoto. Nilihisi labda pengine nililala vibaya nikaamini maumivu yatakata...
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha...
Habarini madaktari wa Jf na wanajamii wote kwa ujumla?
Kuna kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu na ninafikiri hapa ninaweza nikapata elimu.
Katika pitapita zangu za mitandanoni...
Sleep Apnoea ni tatizo linalowatokea hasa watu wanene kupitiliza (obesity), wengine wanarefer kama Obstructive Sleep Disorder (OSD). Statizo hili ni la kutokulala vizuri, ukiwa umelala, neck...
Nina mjukuu wangu wa kiume ana umri wa miaka 4 na wiki 2.
Ana tatizo la kufunga choo anaweza kaa wiki nzima bila kwenda haja kubwa pamoja na kumpa matunda kama mapapai.
Hili jambo linanitisha...
Wakuu habari,
Naomba kujuzwa juu ya ujauzito huu scenario iko hivi mpenzi wangu nimekutana nae ijumaa tukafanya yetu lakini jumatano kapima majibu yametoka ana mimba.
Nimebaki njia panda...
Kwa mujibu wa mtaalamu wa matibabu ya wanyama ni kwamba Mnyama aliyehasiwa huwa anaishi muda mrefu zaidi. Tunafahamu binadamu ni Mnyama pia, vipi akihasiwa anaweza kuishi muda mrefu zaidi?
Sent...
Hello JF,
Ningependa kujua kama ushawahi kupata tiba, kati ya hizo mbili (Tradition Medicine au Modern Medicine)
Ipi ili work?
Au zote?
Kipi kilichokusukuma utumie kimoja wapo?
Nini...
Habari wakuu! Mimi nina ujauzito wa miezi minne lakini tumbo chini ya kitovu limekuwa linaniuma sana hasa nikiwa nainama! Nimeenda hospitali wakasema ni kawaida tu.
Naombeni ushauri wenu je...
Habari zenu jamani,
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania. Niende kwenye Mada nakumbuka yapata miezi kama 8 nyuma nilikuwa nimepoteza hisia katika Uume wangu yaani jogoo anawika...
Asaalam Wadau natumaini mmeamka salama.
Naomba msaada ufuatao Mara nyingi Mke wangu anapomnyonyesha Mtoto anakuwa akipaliwa na hapo wala hakamuliwi maziwa zaidi ya kushikiliwaa tu titi ila ndo...
Unaweza kufikiri ni simulizi tu pengine ya kusadikika. Lakini ni uhalisia. Tujikumbushe. Unaikumbuka familia ya Matumla iliyosheheni wanamasumbwi ikiongozwa na Rashid Matumla aliyetamba ndani na...
Habari za asubuhi wadau.
ninajikita moja kwa moja kwenye uzi, Nina shida moja ya kupiga chafya hali inayopelekea kuhisi muwasho sehemu za kifua, mgongoni na sehemu ya shingo kwa nyuma, na kasi...
Habari kama kichwa cha habari kilivyojieleza napata maumivu makali katika maungio ya bega langu la kushoto. Je, kuna mtu anafahsmu kuhusu hili na je kuna mtu anafahamu dawa.
Msaada Please.
Sent...
kwa miezi mitatu imekuwa katika wakati mgumu mwanzoni nilijua ni kawaida litakwisha lakin hali inazidi kuwa mbaya.
Nimekuwa kama napoteza fahamu kwa muda fulani kwa sekunde kadhaa, afu zinarudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.