Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Inaandikwa kwamba, basi Bwana Mungu akasema. NA TUUMBE MTU kwa mfano wetu. Hapa Bwana Mungu hakuwa pekeyake... Kulikuwa na mamlaka kamili ya kiroho juu mbinguni yaliyokuwa yanaongozwa na Mungu...
11 Reactions
143 Replies
17K Views
Habari za jioni wajuzi !. Nianze kwa kusema inawezekana kuna wakati tunasoma vitu sawa lakini katika uelewa tofauti. Huu uzi haupo kwenye masuala ya kidini na nisingependa tuingie huko tubaki...
18 Reactions
361 Replies
12K Views
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu...
29 Reactions
141 Replies
14K Views
"The problem with Africa is those with power have no idea, and those with idea have no power" By proffesor lumumba Recent Nilikua nasoma kitabu kimoja kimaitwa THE LOOTING MACHINE OF AFRICA...
3 Reactions
18 Replies
996 Views
Wanaanza kwa kukujaza upepo mpaka unajiona umenona, wewe ndio wewe, Mfalme. Wanakulainisha na kukulegeza mpaka miguu inakosa nguvu, huwezi kusimama. Wakianza kuingiza huna cha kuzuia, umekwisha...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Bill Gates ni mmoja kati ya bloodline ya Rothschilds, the richest family of all time, Illuminati family. Familia iliyochanganya damu yao ya Lucifer na kuwa watoto wake, hicho ndicho kizazi cha...
25 Reactions
75 Replies
12K Views
Habari wanajukwaa, Kuna ka usemi nilikua nakasikia tangu nikiwa shule O-level ila nilikua siamini eti walimu hawazeeki haraka. Kwa kweli nimekuja kushuhudia na kuchunguza juu ya hilo na kuona ni...
11 Reactions
126 Replies
20K Views
Habari Wana jamii, Najiuliza kwanini yesu amekuwa maarufu baada ya kufa, ukisomana ukiangalia zile filmu zote zinazoelezea kuhusu yeye (yesu)mwisho alisubiwa na WAKATI mtawala anaulza kafanyanini...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Heri, (1) Nabii Isaya katika kitabu cha Isa.4:2, alisema ipo majira ambapo kutakuwepo na chipukizi zuri. Hapa Nabii Isaya alikuwa na maana kuwa kilichokuwepo huko nyuma ni chipukizi la mabaya...
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Habarini wanajamvi! Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Tutafute uhalisia wa kitu hiki, yaani unao uwezo wa kumuua kubwa la majambazi then unaamua kumuacha na kumuua mwanao ili wanaoonewa na jambazi wapone? Is it logical? Kwa nini Mungu asimuue...
40 Reactions
355 Replies
23K Views
Mimi leo nataka niwafundishe kitu cha msingi sana wakuu. Ipo hivi, kinachompa nguvu Mungu ni vitu alivyotoa kuwapa viumbe hapa duniani. Dunia ina mfumo wake ule ule kwamba "Kadri unavyotoa vitu...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain. Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon...
27 Reactions
129 Replies
22K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile...
19 Reactions
46 Replies
3K Views
UFALME WA UINGEREZA. Na. Comred Mbwana Allyamtu CMCA Monday-12/09/2022 Tabora- Tanzania Kwanza kabisa Familia ya kifalme nchini Uingereza hairuhusiwi kikatiba kujihusisha na masuala ya kisiasa...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi. Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za...
20 Reactions
126 Replies
78K Views
I'm really tempted to go all the way; but I won't do this time. Not worthy it. Kama wabunge waliochaguliwa na wananchi wanaogopa na hawako tayari kwanini wengine tujihangaishe? The connections...
4 Reactions
133 Replies
32K Views
Its taking Christians 2,000 years to agree on HOW Jesus is part of Trinity. We find Genesus 1:1 saying, "In the beginning, God created the heavens and the earth..." When I ask Christian's where...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari wana JF na maisha yetu. kuna makala mengi yapo humu JF na sehemu nyingi zinaonesha wenzetu walivojikita kwenye ujasusi wakutumia wanyama ili kupata taarifa za kijasusi. ila hapa Tz...
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Salaam! Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu, Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo)...
12 Reactions
67 Replies
9K Views
Back
Top Bottom