Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Hi Socrates, Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!? Twende pamoja, Najua wengi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
(It's true my self) Habari wakuu, Husikeni na mada tajwa hapo juu. Baada ya kuamka muda huu nimeona sio vibaya Ku share nanyi ndoto yangu. Najua humu Tuna wasomi na wataalamu wa mambo...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwanza salamuni wana jamvi. Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati...
7 Reactions
66 Replies
9K Views
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena. Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote...
32 Reactions
262 Replies
41K Views
Mmoja wa wanakamati ya kudeclassify files za iliyokuwa KGB anaelezea sababu za kuuawa kwa aliyekuwa mbabe wa USSR Joseph Stalin, na udhaifu wa KGB katika Counterintelligence mpaka kiongozi wa...
7 Reactions
228 Replies
36K Views
Habari za jioni wanajukwaa Niende moja kwa moja kwenye mada kama title inavyosema Kutokana na nilichotafiti binafsi kwa kuconnect dots ya vitabu mbalimbali nilivyosoma nimekutana na argument...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
habari za hapo mlipo wapendwa wa jf,natumai kuna wazima wa afya na wadhoofu wa afya si mbaya sote tuko pa1 katika gurudumu hili la kufanikisha dunia isonge na iwe na mchakato kamili wa kimaisha ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wengi wetu tunaamini kuacha nywele za kichwa zikue na kujisokota kuwa ni uhuni na si tabia njema kwa kadamnasi ya jamii inayo kuzunguka,lakini si hivyo isipokuwa tu ni maadili ya nchi yetu...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanabodi, Angalizo: Naomba kuanza bandiko hili kwa kutoa angalizo muhimu kuwa hapa simzungumzii mtu yeyote specific, bali naendesha somo la psychoanalysis ya hypothetical situation ya hulka za...
42 Reactions
148 Replies
31K Views
Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa. Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao. Alimshauri rafiki yake mkubwa...
37 Reactions
207 Replies
26K Views
MAJOR GENERAL Abdullah al-Senussi (Head of Military Intelligence) na tuhuma za kutekwa kwa kiongozi wa uislam Imam "Musa Sadr" Good afternoon jamiiforums Mnamo tarehe 13 mwezi Agosti mwaka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger! UTANGULIZI SEHEMU YA...
6 Reactions
77 Replies
12K Views
Habari wadau. Mimi ni mwanachama mpya humu. Nina jambo ambalo limekuwa likinichanganya kwa siku nyingi. Kwa mwenye uelewa japo kidogo ninaomba kufahamishwa. Wadau ni kwa nini duniani kuna watu...
25 Reactions
198 Replies
39K Views
Dear Minister of Foreign Affairs, First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Katika siasa za kimataifa, mauji ya halaiki ni eneo ambalo limeutesa Utu kwa miaka mingi. Infact wataalamu wa historia ya maendeleo ya mwanadamu wanasema mauji ya halaika ni moja ya jambo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za mchana wana JF, Baada ya uzi operation kitona nimeona kuna haja ya kuongelea Congo War kwa ujumla ili tuweze kupata kiini cha mgogoro na matokeo yake ingawa kwa wakati wa sasa...
13 Reactions
250 Replies
29K Views
Wakuu. Turejee Kwenye historia tunajua kuwa waafrika tulitawaliwa. Mababu zetu walichapwa viboko na kulimishwa( historia inasema hivyo sio mimi) Hata dini tuliletewa na haohao waliotuchapa...
15 Reactions
171 Replies
16K Views
Mtu ana roho ndani ya mwili na anayo nafsi ama mlango wa mawazo , (vitu vitatu kwa pamoja vinafanya mtu), Mtu akifa mwili unarudi ardhini kwa kuoza , roho inabaki milele , roho inajua vitu vingi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ivi wakuu Kuna kitu kinanichanganya akili, Nikiangalia system ya injini ya gari ilivyotengenezwa kwa mapangilio, na gari yenyewe pia kwa ujumla, yaani Kuna mfumo wa kupooza injini, Kuna mfumo...
5 Reactions
94 Replies
7K Views
Back
Top Bottom