Hahaha sitosahau nilikimbia kazi hii nilikuta tangazo limenoga kama hivi nikajua nimepata kazi kumbe dah hawa jamaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa...
Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and...
Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman.
Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.