Wakuu Kuna hili jiwe nimeliokota hapa nyumbani. Kwa muonekano ni Kama quartz maana lina ule mchongoko wa quartz Ila lina rangi nyeusi na siyo transparent. Ni black quartz au ni kitu gani?
Kwanza kuna wimbo wanaimba Hyena hyena CCM nambari wani.
Pili kwenye ziara zao walimtumia sana hasa ziara za kanda ya ziwa.
Tatu, watu huwaita fisiemu nk.
Kuna uhusiano gani?
NAJUA UMEPITA SHULE YA MSINGI EBU SEMA MCHEZO WAKO ULIOKUWA UNAUPENDA SANA SHULENI ENZI HIZO[emoji3][emoji16]. Mimi mpira wa miguu tena wa tambara weeeee[emoji119]
Hafidh Ameir, Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kunakofanyika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, aliyefariki 17...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.