Leo nimecheka sana nusura nivunjike mbavu wakati nasoma Magazeti ya mwananchi na majira, maana wamemtoa mzee wa pushups ana kidevu kirefu, kichogo kirefu na kipaji cha uso kireeeefu, harafu...
Habari,
Dar kwa kuiangalia ni ndogo lakini kufahamu sehemu ni kitu kingine kabisa.
Kuna watu wanaishi Dar mika nenda rudi, lakini hii picha ukimuuliza ni wapi hana jibu.
Wakuu, hapa ni wapi?
Huyu mtu huyu....hususan kwa wale wahenga wa KLH News, sauti yake mbona kama imefanana na sauti ya head honcho wa Kijijini Leo Hii, Mzee Mwanakijiji.
Ni wewe mzee?
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi.
Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni...
Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.