Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Bado msanii nguri wa habari picha maarufu kama Kipanya anaendelea kutuletea chemsha bongo. Leo kaja na neno maisha,kwa wachambuzi wa hizi habari picha tuelimisheni wajameni.
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu jamaa alikosea nini mpaka akawekewa grill namna hii
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwanabodi, Unasubiri nani aseme na wewe! Yes, wewe! Chukua tahadhari! Kauli mbiu, SALA NA TAHADHARI! Mungu atusaidie [emoji120]
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukija Japan, usikose kwenda kwenye maduka ya "100 Yen Shop". Yen 100 ya Japan ni shilingi 2000 za Bongo. Kila kitu katika maduka hayo ni Yen 100. Kuanzia nguo, vyakula, madaftari, viatu, vifaa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Maana maelfu walimwamini huyu mzee. Kuna mwenye mrejesho kwamba mzee hakuwa tapeli na watu walipona.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Tunarudi nyuma hatua nyingi kwa kasi sana
8 Reactions
6 Replies
2K Views
. Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
18 Reactions
53 Replies
4K Views
[emoji2][emoji2]
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
11 Reactions
38 Replies
7K Views
Mambo ya weekend biriani[emoji2][emoji2]
6 Reactions
23 Replies
2K Views
. Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom