Kama una picha za wenye mapenzi ya kweli tupia hapa.
Miongoni mwa picha nilizotuma kuna wazee ambao wamefikisha zaidi ya miaka 60 ya ndoa zao. Naomba ziwe za wazee ambao wamekaa muda mrefu sana...
Nimemiss maisha yale tuliyokulia (eneo letu) obvious watu wengi tumekulia mazingira haya kutoa vijana wa dar.
Unawezakuta huyo dogo mlangoni ndio mtoto wa kwaza analinda wadogo zake na nyumba...
Kakikukamata kanaanza kula kichwa ukiwa bado mzima. Jike ukimaliza kumate naye anakukamata na kuanza kukutafuna kichwa. Hivi ingekuwa kwa watu ingekuaje? Ukimaliza unatoka mbio za ajabu!!
Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya.
Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla...
Juzi nimeletewa mzigo wa senene kutoka nyumbani, senene watamu sana na wana heshima kubwa sana kwa kabila letu. Nimekumbuka enzi zile nipo Kagera nilikuwa naenda kuwakamata kwa ajili ya kitoweo...
Ni mwanadada Milo Moire, kutoka nchini Uswisi,alizaliwa mwaka 1983,alihitimu shahada ya uchoraji na upakaji rangi mwaka 2002,pia amehitimu shahada ya Saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Bern,huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.