Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura...
Mimi sina chama ila huyu Mama ni mcha Mungu, mpole,mnyenyekevu
anayemfanya Rais Magufuli atuongoze vyema.
Kupitia huyu mama wanawake wote wanasema watampigia kura Rais Magufuli.
Asante mama...
Habali zenu humu ndani,
Zikiwa zimebaki siku 8 kufanyika kwa uchaguzi mkuu hivi ndivo nimejipanga kukabiliana na swala zima la uchaguzi.
Wewe umejipanga vipi?
Tafadhali ongezeni umakini, Gazeti la leo tarehe 19 Oktoba 2020.
Kwenye habari unasema jana, maana yake 18 Oktoba 2020
Lakini ukweli ni Mechi ya Uingereza vs Ubelgji ilikuwa 11 Oktoba 2020
Na jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.