hii imethibitika jana kwenye vurugu za mbagala kwani kama mtu una kazi zako au shughuli yako kamwe huwezi jishugulisha na hivi vitu sawa najua mtoto kakosea lakini unamwachia mungu mwenyewe...
Mwamvita alipokwenda kumuaga Waziri Mkuu Mh. Pinda ofisini kwake wiki iliyopita....
"Friends,
On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg...
MShiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, Babylove Kalala, akijarimu kumng'ata nyoka wakati mrembo huyo pamoja na wenzake wanaowania taji hilo walipotembelea eneo la Snake Pak mjini Arusha.mia
Anatumia jina la steven swa makala, au stephen kebwe kebwe makala(angalia attachment uone alivyofoji kitambulisho), anadai ni mfanyakazi wa barick gold mine..kama contactor ,ametapeli watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.