Huyo ni mmoja wa waandamanaji cheki wanavo mdhiditi usala kwanza kwa wote police na Mwandamanaji! Sijui ingekuwa bongo hapo angekuwa kaisha pata nini kari ya Risasi ya Moto na Bomu la machozi??
Unyama bado unaendelea anaepigwa kijana ambaye ni mwanafunzi kulikuwa na sababu gani ya polisi kutumia nguvu namna hii
Kikwete na Mwema mtueleze watanzania nn kinaendelea katika Jeshi letu hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.