Huyu ndiye eddicus Zu'l Zoranderthe first wizard, wizard of the First Order and the most powerful class of wizards ambaye ni one of the main character katika filamu ya 'Legend of the Seeker'...
hicho ni chuo kikuu kipo sehemu za munich germany,uongozi wa chuo hiko uliamua kuweka mitelezo kutoka gorofa ya 4-3 mpaka chini kama aina flani ya kufurahisha wanafunzi wa chuo hicho na...
Dereva alinusurika baada ya kusaidiwa kutolewa ila ni kama mungu tu alimpangia awe na maisha marefu zaidi,kwa mitazamo ya kawaida ukipata ajali hapo hutoki
Mhe. Mzindakaya ameishambulia Serikali ya Tanzania kwa kuendekeza misaada ya nje. Alienda mbali kwa kusema kwamba viongozi wetu ni wapiga porojo tu.
Source:
Channel Ten. Kipindi cha HAMZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.