Huyu jamaa alikuwa ana save kwa chai aliyokunywa asubuhi.Nilimfuatilia zaidi ya kilometa mbili na jamaa nafikiri alipata mwaliko wa hiyo gari-FAIRPLAY!
Kama ni mjanja la sivyo mimi bado...
Hii ni mitaa ya Buguruni, Nelson Mandela Rd.
Jamaa wanagema mafuta kutoka kwenye matenka mchana kweupee!
Tusubiri mvuta sigara tu apite siku moja mitaa hii na barabara yote itawaka moto.
Kwa hali tuliyofikia, kiasi kwamba kwa wiki moja ni lazima raia mmoja au zaidi wauawe, sasa imefikia kipindi ambacho wananchi tumechoka. polisi naomba mjitazame upya tena. msidharau nguvu ya Umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.