Hapa nchini kuna raha sana , nimikuta hii sehemu fulani nchini, ng'ombe wakila breeze la week end!!
Halafu tunasema ni binadamu tu tunapenda raha.
Unaweza kujua hapa wapi?
Marekani ubunifu wa nguo hizi za michezo kwa namna moja ni udhalilishaji kwa wanamichezo kwa kutoficha baadhi ya maungo yao ambayo si vema kuonekana jiografia yake kwa uwazi hivi.
Hizi ndizo nakala ambazo zimesababisha serikali kuchukua hatua za kulifungia Mwanahalisi. Serikali ina sababu zake, na vyombo vya habari vinalalamikia ukali wa sheria. Kwamba uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.